Verse 1:

Wewe ni Bwana, juu ya mabwana (You are the Lord of Lords)
Ufalme wako, wadumu milele (Your kingdom endures forever)
Wewe ni Bwana, juu ya mabwana (You are the Lord of lords)
Umetukuka, milele amina (You are praiseworthy forever Amen.)

Chorus:

Verse 2:

Katoka juu, mbinguni kaja hapa duniani (From heaven you came to earth)
kamwaga damu kalivari, ili nipate kombolewa(You spilled your blood at calvary that I would be saved)
Na nimeokoka, nioshwa dhambi Nimekuwa safi, (I am saved, My sins are washed, I am cleansed)
ninakusifu Milele na milele na mile-ele (I will praise you forever and ever)

(Chorus)

Verse 3:

Majaribu yaja, shida nazo zaja (Temptations came together with troubles)
Kila siku mbio, ni katika vita (Every day is a battle)
Adui hatasita kunimaliza, nami nimeuona mkondo wa Yesu (The enemy wouldn’t hesitate to defeat me, but I have seen Jesus’ way)
Msaada wangu, tegemeo langu, Mwambwa imara wake nasimama (My help, my haven, on His solid rock I stand)
NImeweka imani kwa yule aliye mwaminifu (I have put my faith on the one who is faithful)

(Chorus)

Advertisement