Jina la yesu ngome imara,Mwenye haki hukimbilia kawa salama
The name of Jesus a solid rock, the righteous run to it and they are safe
Macho ya bwana humwelekea, Mwenye haki kilio chake hukisikia
The eyes of the Lord will look to him, he will hear the cry of the righteous

Chorus:
Mateso ya mwenye haki nayo ni mengi,Lakini Bwana humuokoa nayo yote
The troubles of a righteous person are many, but the Lord will save him from all
kama si wewe, kama si wewe Yesu, Umehifadhi nafsi yangu nikutukuze
If it was not for you, if it was not for you Jesus, you have preserved me to praise you

Bwana U karibu na mwenye haki, waliopondeka roho yeye huwahifadhi
Lord you are close to the righteous, You preserve the weak in spirit
Humuifadhi mifupa yake, hukumbuka nafsi za watumishi wake
You preserve his bones, you remember your servants

(Chorus)

Wewe ni Mungu, wewe ni baba, Umehifadhi nafsi yangu nikutukuze
You are my God, you are my father, you have preserved me to worship you
Wewe ni ngome ya maisha yangu, Umehifadhi nafsi yangu nikutukuze
You are my life’s stronghold, you have preserved me to praise you
Sifa zako zi kinywani mwangu, Umehifadhi nafsi yangu nikutukuze
Your praises are on my lips, you have preserved me to worship you
Hafananishwi, hafananishwi Yesu, Umehifadhi nafsi yangu nikutukuze
He is not to be compared, Jesus cannot be compared, you have preserved me to worship you

(Chorus)

Advertisement