Ushindi (Victory) by Marion Shako

Leave a comment(Sung in Swahili)

Verse 1:
Majeshi Yalinizingira, adui walinitisha (Armies surrounded me, enemies frightened me)
Lakini ikakupendeza, Kunipigania (But you saw it fit, to fight for me)
(Repeat)

Chorus:
Umenifuta machozi, Umeondoa kilio (You have wiped my tears, you have removed my cry)
Umenipa Ushindi, Ahsante Mungu Wangu You have given me victory, thank you my God)
(Repeat)

Verse 2:
Sijivunii ushindi, najivunia msalaba (I dont boast of my success, I boast of the cross)
Ya kwamba kwake Yesu, naweza Kuyatenda Yote (That in Jesus, I can do all things)
(repeat)

(Chorus)

Verse 3:
Sio kwa nguvu zangu, sio kwa uwezo wangu (Its not by my strength, not by my might)
Wala sio kwa majeshi,Ni kwa Roho wako (Its not for the armies, but your spirit)
(repeat)

(Chorus)

Kiatu Kivue (Remove the shoe) lyrics by Anastazia Mukabwa & Rose Muhando with English Translation

1 Comment(Sung in Swahili)
Mungu alinena naye Musa hicho kiatu kivue(God told Moses remove that shoe)
Mungu alinena naye Musa hicho kiatu kivue(God told Moses remove that shoe)
Ulichotoka nacho kwa farao nakwambia(The one you came with from Pharaoh)
Pahali hapa ni patakatifu hicho kiatu kivue(The place you are standing is holy) (x2)

Musa hicho kiatu, Musa hicho kiatu(Moses remove that shoe, take it off)
Nataka ninene nawe, nataka nikutumie(I want to speak to you, I want to use you)
Nataka nikuinue, nataka nikubariki(I want to lift you up, I want to bless you)
Watu wangu waangamia,taifa langu la Israeli(My nation Israel is perishing)
Watu wangu wanasononeka,watu wangu wanateseka(My people are desolate and desperate)
Nataka nikutumie wewe, ukaokoe taifa langu we(I want to use you to rescue my nation)

Hata leo mungu anena nasi hicho kiatu we(Even today God tells us to remove that shoe)
Kiatu ni dhambi uzifanyazo ninakwambia(The shoe is your sins I tell you)
Ukahaba unaoeneza kando kando ni kiatu(Your secret promiscuity is the shoe)
Wivu na masengenyo vimekuja ni kiatu(Jealousy and gossip is the shoe)
Kitakupeleka jehanamu hicho kiatu(The shoe will take you to hell)
Kitakupeleka motoni wewe hicho kiatu(It will take you to the lake of fire)
Uzinzi unaoeneza wewe ni kiatu(Unfaithfulness is the shoe)
Uvalie wake wa wenzio magoti we nakwambia(Seducing married women I tell you)
Utongoza waume wa wenzio ni kiatu we(Seducing married men is the shoe)
Kitakupekea jehanamu hicho kiatu(That shoe will take you to hell)
Mama hicho kiatu, baba hicho kiatu(Mother that shoe, father that shoe)
Nataka ninene nawe, maana ninakupenda(I want to speak with you for I love you)
Nataka ninene nawe, ili nikuokoe(I want to speak with you so I could save you)
Mimi sitaki uangamie, mimi sitaki upotee(I don’t want you to perish or to lose you)
Mimi sitaki uangamie, maana mimi ninakujali(I don’t want you to perish because I care)
Mimi Mungu ni wa neema, mimi mungu ni wa upendo(I am the God of grace, God of love)

Ukitaka Mungu akubariki lazima kiatu kivue
(If you want God to bless you, you must remove the shoe)
Ukitaka kuinuliwa wewe ni lazima kivue
(If you want to be lifted up you must take off the shoe)
Wivu ulio nao wewe ni lazima kivue
(You must remove your jealousy (Take it off)
Hutaki kuona mwenzako mama akiinuliwa wewe
(You don’t want your friend to prosper (take it off)
Hutaki kuona mwenzako akiwa amependeza
(You don’t want your friend to be beautiful (take it off)
Hutaki kuona mwenzako akiwa yuko smart
(You don’t want your friend looking ‘smart’ (take it off)
Tabia ulio nayo mama ninakwambia wewe
(Your manners mother I tell you (Take it off)
Hutaki kuona ndoa ya mwenzako jamani mke na mume wakicheka
(You don’t want your friend to have a happy marriage (Take it off)
Tabia uliyo nayo baba, nakwambia badilika
(Your ways father, I tell you to change (Take it off)
Hutaki kuona huduma ya mwenzako jamani likisonga mbele
(You don’t want your friends service to prosper (Take it off)
Hebu kivue, jamani hebu kivue
(Take it off, please take it off (Take it off)
Kiatu cha nyumba ndogo, kiatu cha ulevi
(The shoe of a promiscuous house, the shoe of drunkedness (Take it off)
Kiatu cha uzinzi, kiatu cha masengenyo
(The shoe of unfaithfulness, the shoe of gossip (Take it off)
Kivue, kivue, kivue, kivue
(Take it off, take it off, take it off, take it off)

Mungu ananena nawe hicho kiatu kivue
(God is telling you to remove that shoe (Take it off)
Mungu anena nawe hicho kiatu kivue
(God is telling you to remove that shoe(Take it off)

Valia mini waume wa wenzio iwe mwisho
(Wearing minis for married men must end (Take it off)
Kuvalia vitovu waume wa wenzio iwe mwisho
(Wearing briefs for married men must end (Take it off)
Kupaka wanja kwa waume wa wenzio iwe mwisho
(Make up for the sake of married men must end (Take it off)
Nataka nikupe mumueo, nataka nikupe nyumba yako
(I want to give you your husband, I want to give you your home (Take it off)
Nataka nikuinue, nataka nikuinue
(I want to lift you up, I want to raise you up (Take it off)
Nataka nikuinue, niinue mume wako
(I want to lift you up, to lift your husband (Take it off)
Niinue nyumba yako, nimwunue mke wako
(To lift up your family, to lift up your wife (Take it off)
Nikupatia mchumba, kiatu cha nyumba ndogo
(To give you a wife, the shoe of small minds (take it off)
Mungu anasema nawewe hicho kiatu kivue
(God is telling you to take off that shoe (Take it off)
Kivue, kivue, kivue, kivue
(Take it off, take it off, take it off, take it off
Ah, hicho kiatu kivue
(Ah remove that shoe!)

Mimi Siyawezi (I Can’t By Myself) by Abeddy Ngosso ft. Sarah Kiarie

2 CommentsChorus:
Yesu ndiye msaada wangu wa karibu| Jesus is the close help
Kwa yote n’nayo pitia | For all that I pass through
Maana mimi siyawezi, haya yote  | Because I cannot by myself
Ni wewe uyawezaye | It is you who is able

Verse 1:
Mungu wangu nifungulie milango ya mbinguni | My God open the heaven gates for me
Kwa yote ninayopitia, Ni wewe uyawezaye | Because of all I pass through, you are able
Shida zangu zimejuwa nyingi| My troubles are many
Ninakuita ni wewe | I call unto you

(Chorus)

Verse 2:
Wewe ndiwe unayebariki na tena unaponya | You bless, and you heal
Mlinzi mwema utulindaye, Na wewe tu unafariji | Our guard and our comforter
Wewe ndiwe wa uzima milele twakuhitaji| You are life everlasting we need you

(Chorus)

Verse 3:
Yesu wangu nakuita njoo ndani ya moyo wangu | My Jesus I invite you into my heart
UNibariki unifariiji,Maana nimevunjkia | Bless me comfort me, for I am broken
Sina mwingine aniwezaye, Ila wewe wanitosha | I don’t have anyone else who is able

(Chorus)

Verse 4:
Hakuna aliye kama yesu maana yeye anatenda | There is no one able like Jesus
NI wewe uyawezaye… | You are able

Baba tunakuhitaji kila wakati | Father we need you all the time
Maana hatuwezia bila wewe | Because without you we are helpless
Unaotutendea ni makuu mno | You show us great things
Asante kwa sababu utakuwa pamoja nasi haleluya| Thank you because you will be with us. Haleluya

Anabadilisha (He Changes) Lyrics by Betty Bayo with English Translation

1 Comment


He can change your life,
He is God jehova, Haleluya
I trust you Lord

Verse 1:
Mungu wangu anaweza, kubadili maisha yako | My God can change your life
Mungu wangu anaweza, kubadili hiyo hali yako | My God can change your state
Mungu wangu anaweza,  kubadili maisha yako| My God can change your lide
Unakoishi, unachokula, unakolala | Where you live, what you eat, where you sleep
Mungu wangu anaweza, anabadilisha | My God is able, he can change

Chorus:
Anabadilisha, anabadilisha | He can change you
Abadilisha, badilisha, badilisha | He can change you
Anabadilisha, anabadilisha | He can change you
anabadilisha, badilisha, badilisha | He can change you

Verse 2:
He can save your life,he can change your life
He can change everything,He is God
He can change your lifestyle, He can change your story
He can change everything, he is God, He is God

Chorus)

Verse 3:
He can change your today, He can change your tomorrow
He can change everything, He is God, He is God
He can change your today, He can change your tomorrow
He can change everything, He is God, He is God

(Chorus)

Verse 4:
Yesu anaweza inua,kutoka mavumbini | Jesus can raise you from nothing
Akuketishe na wafalme,maada yeye ni Mungu | And seat you with kings for he is God
Amenitengeneza,ndio ninaimba tena | He has made me that I can sing again
Ndio maana ninaimba yeye, anabadilisha | That is why I sing, for he has changed me

(Chorus)

O loko loko …,
No vindua …,
Ya garuraga…,

Kuna Dawa (There is a Cure) Lyrics by Esther Wahome

6 Comments


Chorus
Kuna dawa, Kuna dawa (There is a cure, a cure) x4

Verse 1:
Nayatangazia Mataifa (I announce to all nations)
Kuna dawa na waipokee (That there is a cure; receive it)
Dawa ni Kumpokea Yesu (The cure is to receive Jesus)
Oh Kuna dawa (Oh, there is a cure)
(repeat)

(Chorus)

Verse 2:
Pokea dawa bila malipo (Receive the cure without a price)
Yaponya roho na pia mwili (That cures the spirit and the body)
Yaondoa dhiki na laana (And banishes troubles and curses)
Oh, kuna dawa (Oh, there is a cure)
(repeat)

(Chorus)

Verse 3:
Nawasihi wote mnywe dawa (I urge all of you to receive the cure)
Wazee kwa vijana tunywe dawa (Old and young; recieve it)
Watoto pia wapewe dawa (Children too should be given)
Oh, kuna dawa (Oh, there is a cure)
(repeat)

(Chorus)

Older Entries

%d bloggers like this: