Chorus:
Yesu ndiye msaada wangu wa karibu| Jesus is the close help
Kwa yote n’nayo pitia | For all that I pass through
Maana mimi siyawezi, haya yote  | Because I cannot by myself
Ni wewe uyawezaye | It is you who is able

Verse 1:
Mungu wangu nifungulie milango ya mbinguni | My God open the heaven gates for me
Kwa yote ninayopitia, Ni wewe uyawezaye | Because of all I pass through, you are able
Shida zangu zimejuwa nyingi| My troubles are many
Ninakuita ni wewe | I call unto you

(Chorus)

Verse 2:
Wewe ndiwe unayebariki na tena unaponya | You bless, and you heal
Mlinzi mwema utulindaye, Na wewe tu unafariji | Our guard and our comforter
Wewe ndiwe wa uzima milele twakuhitaji| You are life everlasting we need you

(Chorus)

Verse 3:
Yesu wangu nakuita njoo ndani ya moyo wangu | My Jesus I invite you into my heart
UNibariki unifariiji,Maana nimevunjkia | Bless me comfort me, for I am broken
Sina mwingine aniwezaye, Ila wewe wanitosha | I don’t have anyone else who is able

(Chorus)

Verse 4:
Hakuna aliye kama yesu maana yeye anatenda | There is no one able like Jesus
NI wewe uyawezaye… | You are able

Baba tunakuhitaji kila wakati | Father we need you all the time
Maana hatuwezia bila wewe | Because without you we are helpless
Unaotutendea ni makuu mno | You show us great things
Asante kwa sababu utakuwa pamoja nasi haleluya| Thank you because you will be with us. Haleluya