(Sung in Swahili)

Chorus:
Sasa nimetambua ya kwamba kwa yesu kuna raha,
(Now, I have known that there is joy in Jesus)
There is Joy in the Lord
Sasa nimetambua ya kwamba kwa yesu kuna raha
(Now, I have known that there is joy in Jesus)
There is Joy in the Lord

Na mademu nilipanga, panga sana, Lakini sikutosheka
(I had a lot of women, But I was not satisfied)
Nayo boza nilichoma, choma sana, Lakini sikutosheka
(I smoked a lot of weed, But I was not satisfied)
Nakutindi nilitindi, tindi sana, Lakini sikutosheka
(I drank until I was drunk, But I was not satisfied)

God is good, God is good all the time
I swear Mr. Iggy iggy pray unto him
God is good, God is good every time
That is why we ready to know more of you
I have seen Bmw, I’ve seen many benz
All them dem mean nothing to me
Rufftome mr. Miggy iggy, daddy owen
Ben Bahati We tell you that you just have to follow Christ

(Chorus)

Na masomo nilisoma, mpaka ng’ambo, Lakini sikutosheka
(I studied a lot, I even went overseas, But I was not satisfied)
Nazo ndege nilipanda, panda sana, Lakini sikutosheka
(I traveled by air a lot, But I was not satisfied)
Nayo raha niliponda, ponda sana, Lakini sikutosheka
(I immersed myself with wordly pleasures, But I was not satisfied)

NIshampata kweli mimi nishampata
(I have found him, Its true I have found him)
Kama ni pesa, mali nishaona
(I have seen money and riches)
Ee za dunia mi sitaki, nalilia wana wote wenye haki
(Of the world I don’t want, I cry to all the righteous)
Oo Sasa mi nimetambua, za dunia zanyauka ka maua
(I have realized that everything of the world fades like a flower)
Oo yote sasa zinapita, zinapita zinakwisha zakatika
(Everything shall pass away, it will pass, it will end, it will stop)

(chorus)

Ulimwengu ni hasara, bali kwa Yesu ni faida
(The world is a loss, but in Jesus there is gain)
Tumeona watu waliotishwa na mapesa, elimu na mashamba
(We have seen people consumed with money, education and land)
Lakini mwishowe pamoja na maskini wakaaga
(But in the end, they died with the poor)

(chorus)