(Sung in Swahili)

Yesu ni wangu ni wa uzima wa milele
(Jesus is mine, He is eternal life) x2
Sema Mwokozi ni wangu mie, wa uzima wa milele
(I say the savior is mine, He is eternal life)
Yesu ni wangu ni wa uzima wa milele
(Jesus is mine, He is eternal life)
Yesu/Jehovah ni wa uzima, wa milele
(Jesus/The Lord is eternal life)
Ni wa uzima, wa milele (He is eternal life)

Niende wapi na kwako ndo kuna uzima? (Where shall I go when there is eternal life with You?)
We ndo wangu wa uzima, wa milele (You are mine forever)
Niende wapi na kwako ndo kuna uzima? (Where shall I go when there is eternal life with You?)
Mi ni wako we ni wangu wa uzima, wa milele (I am Yours, You are mine, eternally)
Nainua macho milimani msaada wangu utatoka wapi? (I lift up my eyes to the hills, where does my help come from?)
Msaada wangu utatoka kwako, Bwana (My helps comes from You Lord)

(Refrain)

Kama binadamu wangekuwa wanacontrol maisha (If human beings controlled life)
Basi tungepata taabu kibao (Then we would have suffered greatly)
Kungekuwa na duka ya kuuza hii uzima (If there was a shop selling this Life)
Pumzi moja wangekuuzia zaidi ya thao (They would sell you one breath for 1000)
Devo anakuja kusteal (The devil comes to steal), kill and destroy
But ulikuja ili tupate uzima kibao (But You came so that we may receive great life)
Mwambie ashidwe ametupa mbao (tupa mbao) (Tell him he has been defeated)
Ashindwe kabisa ajue mimi si wao (mi si wao) (Completely defeated, I am not theirs)
Jesus Christ wewe ndo kiboko yao (‘boko yao) (You are the best, Jesus Crhist)
Wengine mwisho kwangu mimi we ndi fao (Others are last to me, You are the first)

Wa milele (Forevermore)
Yesu ni wa uzima, wa milele (Jesus is mine, he  is eternal)
Yesu ni wa uzima, wa milele (Jesus is mine, He is eternal)
Jehova ndio wa uzima, wa milele (The Lord is life eternal)

We ndo njia, ukweli na uzima (You are the way, the truth and the life)
Tumaini langu ni kwako Bwana  (My hope is in You Lord) (Repeat)

Aaah, eeh x?

(Refrain)