Piganiange (Fight For Us) Lyrics by Mr. Seed and Sailors

Leave a comment


(Sung in Swahili/Sheng/Kamba/Kikuyu)

Asanti kwa pendo ( Thank you for the Love)
Chakula na cha kulalia ( For sustenance and where to lay our heads)
Wewe ni Upendo ( You are Love)
Na Seed/Sailors wamekubalia (And Seed/Sailors have accepted it ) (Repeat)

Refrain:
Tukikosea, tufinyana finya-finyange (When we sin, mould and re-mould us )
Tukipotea, tureke-rekebishange ( When we lose our way, change and re-change us)
Tukiropokwa, tufungafunga-fungange ( When we do not watch over our words, counsel us)
Tukinyanyaswa, tupiga piga-ganiange ( When we are abused, fight for us)
Piganiange, piganiange (Fight for us, fight for us)
Piganiange, piganiange (Fight for us, fight for us)

Oh nakupenda bana jo (Oh I love You So)
Zile ngori umenitoa kwa maisha yangu ( The troubles that you have removed from my life)
Sitaki hata doh ( I do not even need money)
We ndio daddy oh yo (You are the father) (Repeat)

Nani alisema wagenge hawawezi piga injili ifike? ( Who said the Genges can’t spread the gospel?)
Na ni nani alisema injili tu ni yake peke yake? ( Who said the gospel is reserved only to them?)
Kwata waya, nenga ngita — njeta wavita (Twing twing) ( Play the instrument, the guitar, make it sing “twing, twing”)
Kwata waya, nenga ngita — njeta wavita (Twing twing) ( Play the instrument, the guitar, make it sing “twing, twing”)

(Refrain)

Niko high juu ya neno, wa-lai ju ya neno x4 (I am high on the word, because of the Word )

E muoyo, Jesu e muoyo (He is alive, Jesus is alive)
Nikio ndiraina ni tondu e muoyo ( I sing because He is alive) (Repeat)

Pedi pedi pedi wa mahoya (I was a drug peddler..)
Leo ni kusifu tu na kuhoya (Today I am praising and worshiping)
Na hii journey imekuwa tu mahoya (And this journey has become prayerful)
Nakumbuka nikikula U-Fresh ( I remember .?.)
Na madunya za kuhoya ( … )
Wakakaza nikakazua na mahoya (They blocked me, but I opened a path through prayer)
Niko happy, niko happy ( I am happy, I am happy)
Niko happy (I am happy) in Jesus Mighty name
Itadai, itadai, itadai gutongoria ainge ( … lead ..)
Ni Messiah, ni Messiah, ni Messiah (It is the Messiah)

(Refrain)

Sailors tumejitolea tutume Nyasaye (Sailors have resolved, send us God)
Walai ututume injili ibambe ( Use us, that we might spread the gospel)
Ibambe kubamba ( That it might spread and overwhelm)
Toka zile enzi za “Jesu ni Mwathani” ( From the time of “Jesus is Lord”)
Masilver ni nyendete mwathani ( Masilver are the … Lord)
Na ndire ndahitia riathani x3 ( …)

(Refrain)

Silangazelela Wena (We desire Lord to serve You) Lyrics by Nomusa Dhlomo ft. Takesure Zamar Ncube

2 Comments


(Languages: Zulu, Sotho, Shona)

(In Zulu)
Nkosi, siyakuthanda
Silethi’ ihhliziyo zethu
Silangazelela wena
Sikothama, phambi kwakho

(Translation in English)
Lord We’re here, to say we love You
We prepare, our hearts for You
We desire Lord to serve You
We bow down, before your throne

(Same translation — in Sotho)
Morena, rea horata
Pelo de loketsi wena
Relakatsa hoe oe sebeletsa
Rekgomama ho wena (Repeat)

(Zulu Verse)

(In Zulu/Sotho)
Silangazelela wena (We desire Lord to serve You)
Sikothama, phambi kwakho (We bow down, before your throne)
Relakatsa ho oe sebeletsa (We desire Lord to serve You)
Rekgomama ho wena (We bow down, before Your throne)

(In Shona)
Moyo yedu yazaruka Tapfugama Mwari (We prepare, our hearts for You)
Nekuti tinokudayi x? (We desire Lord to serve You)

(Zulu Verse)

Sikothama, phambi kwakho x?
We bow down, before Your throne x?
Rekgomama ho wena x?

(Zulu Verse)

Mgambo (Soldier) Lyrics by Goodluck Gozbert ft. Bony Mwaitege

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Refrain:
Mungu amenipa kutembea, hatua mbele
(God has given me a step ahead)
Eh kama mugambo, hatua mbele
(Like a ranger, a step forward) (Repeat)

Sadaka gani mimi nitoe? (What offering should I give)
Ona favour amenipa favour (Oh, look at the favor, He has granted me favor)
Cheko gani mimi nicheke? (What laughter should I laugh?)
Ona happy moyo uko happy (Look at my happiness, my heart is joyful)
Ameweka ujasiri wa ki afande (He has put courage like an officer’s in my heart)
Oh siogopi, vita twende (Oh, I am not afraid, I am ready for battle)
Ameweka ujasiri acha nitambe (He has placed courage in my heart, let me dance)
Oh siogopi, weka twende (I am not afraid, let us go)

Yaani hapana dori, dori di — Mambo waka (There are no worries, things are great)
Nimevikwa na koti, koti ti, mambo super (I have been dressed with a coat, things are great)
Machozi yalinitoka, yalinitoka, yalinitoka (Tears rand down my face)
Mtesi alinitesa, alinitesa, alinitesa (The tormentor tormented me)

Nikifuta kushoto, hata kulia ya moto (If I clear the left, even the right is on fire)
Yaani kama mtoto, amefunika matoto (Like to a child, he has covered His child)
Oluwafemi (For God loves me)in Yoruba

Hatua mbele (A step forwards) x?

(Refrain)

Oga, oga, Baba (Father) I thank You
Umefanya ma  (You have done) marvelous thing Lord I thank You
Oga oga, Jesus I thank You
Unenipa mihuri ya heshima, oh Baba (Father, You have given me stamps of respect)

Tena sio sifuri, nina majina majina (I have many names)
Siku hizi boss, ah mheshimiwa (These days I am a boss – the honorable)
Ametoa kibali, huku ni mambo sawa (He has brought me from far, all is fine here)
Siandamwi madeni, ameniponya Bwana (I do not owe anyone, the Lord has healed me)
Ni Yesu amefanya, sasa wasiwasi wa nini? (It is Jesus who has made me, what is there to fear?)
Na Mungu akitenda unabakia kileleni (When the Lord does it for you, you remain at the top)

Oga, oga, Baba I thank You
Umefanya ma (You have done) marvelous thing Lord I thank You
Oga oga, Jesus I thank You
Unenipa mihuri ya heshima, oh Baba(Father, You have given me stamps of respect)

(Refrain)

Neno linasogea, kama mgambo (The Word is moving, like a ranger)
Mgambo hawajali, hali ya hewa (A ranger cares not for the weather)
Hata kama mvua hatua mbele (Even through the rain, a step forward)
Mgambo hawajali, huendelea (Rangers do not care, they keep moving)

Kama (like a ) commando, commando comma– x4

(Refrain)

Vice Versa Lyrics by Size 8 Reborn and Rose Muhando

1 Comment


(Sung in Swahili)

Nakushukuru Mungu we, ewe Mungu we
(I thank you God, You God)
Nakushukuru Mungu we, nimeona mkono wako
(I thank you God, for I have seen Your Hand)
Kama si wewe Mungu we, ewe Mungu we
(If it wasn’t for You, God)
Kama si wewe Mungu we, singefika hapa nilipo
(If it wasn’t for You, I would not have been where I am)

(Repeat)

Nilipopita kati ya uvuli wa bonde la mauti na kuzimu
(When I pass through the valley of the shadow of death)
Uliniona Yesu (Jesus You watch over me)
Nilipopigwa na maadui, wakanishambulia
(When my enemies target me and attack me)
Uliniona Yesu (Jesus You watch over me)
Shetani aliposimama, ili anifanye mawindo
(When Satan stands so that he hunts me)
Ulinificha Yesu (Jesus You hide me)
Marafiki wangu walitabiri maanguko yangu
(When my friends prophesy my failures)
Umeniinua Yesu (You have lifted me, Jesus)

Wewe Mwamba wangu, wewe nguvu yangu
(You are my rock, You are my strength)
We amani yangu, kimbilio langu
(You are my peace, my Refuge)
Msaada wangu, watosha!
(My Helper, You are enough!)

(Refrain)

Mbwa mwitu walipiga kelele, nikaziba masikio
(When wild dogs howl, and I close my ears)
Nilikuona Yesu (I saw You Jesus)
Walipanga mipango ya uovu, ili niangamie
(They plotted evil plans, that I may perish)
Ukapangua Yesu (You confused the plans, Jesus)

Mipango, mawazo, walionikusudia
(The plans and the thoughts You intend for me)
Wamepanga, umepanguwa, imekwenda vice versa
(They planned, you unplanned them, it has gone vice versa)
(Refrain)

Kama vice versa (Like vice versa)
Uongo vice versa (Falsehoods, vice versa)
Uchawi vice versa (Witchcraft, vice versa)
Fitina vice versa (Intrigues, vice versa)
Masengenyo vice versa (Gossip, vice versa)
Nimeshinda! (I have overcome!)

(Refrain)

%d bloggers like this: