Advertisements

Jina La Yesu (The Name of Jesus) Lyrics by John Lisu

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Yesu, Jina lako (Jesus, Your Name)
Limeinuliwa juu (Has been lifted high)
Lapita majina yote (Above all other names)
Twakuabudu (We worship You)
Yesu, Jina lako (Jesus, Your Name)
Ni dawa kwa mataifa (Is medicine to the nations)
Wastahili wewe tu Bwana (You deserve it, only You Lord)

Umezungukwa na utukufu wako (You are surrounded by Your Glory)
Umejivika heshima (You have clothed Yourself with honor/respect)
Kama vazi (Like a garment)
Hakuna kama Wewe (There is none other like You) (Repeat)

Mshauri wa ajabu (Wonderful counselor)
Mungu mwenye nguvu (Mighty God)
Baba wa milele (Everlasting Father)
Nani kama wewe? (Who is like You?)
Nani kama wewe? (Who is like You?)
Kuhani, mwombezi, Rafiki (High Priest, intercessor and Fried)
Nani kama wewe (Who is like You?)
Nani kama wewe? (Who is like You?)
Hakuna kama wewe (There is none like You)

Wa kufanana na we, hakuna (There is none who is like You)
Wa kulingana na we, hakuna (There’s none compared to You)
Hakuna, mwingine, kama wewe (There none other like You) (Repeat)

Una nguvu, Una nguvu (You are Mighty, You are Mighty)
Una nguvu, Bwana (Lord, You are Mighty) (Repeat)

Haleluya, haleluya (Hallelujah, Hallelujah)
Haleluya, Bwana (Hallelujah to the Lord)
Mtakatifu, mtakatifu (Holy, Holy)
Mtakatifu (Holy)

Wa kufanana na we, hakuna (There is none who is like You)
Wa kulingana na we, hakuna (There’s none compared to You)
Hakuna, mwingine, kama wewe (There none other like You) (Repeat)

Advertisements

Nitetee (Defend Me) Lyrics by Chris Mwahangila

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Refrain:
Nitetee Mungu, nitetee Baba (Defend me God, Father defend me)
Nitetee Mungu wangu, Bwana (Advocate for me my Lord God) (Repeat)

Nitetee Mungu wangu (Defend me my God) x4
Nakuomba Mungu (I pray to You, God)

Safari yangu imejaa vikwazo (My journey is full of troubles)
Safari yangu ina vita kubwa (My journey is full of great war) (Repeat)

Bila wewe Mungu, sitafika (Without You God, I will not arrive)
Bila wewe Bwana, sitafanya chochote (Without You Lord, I will not do anything)

Nitetee Mungu wangu (Defend me, my God)
Nitetetee, Baba (Father advocate for me)
Oh nakuomba Mungu wangu (Oh I pray to You, My God) (Repeat)

(Refrain)

Adui zangu wamenitegea, mitego mibaya (My enemies have set a trap for me)
Lengo lao kwangu, wanataka waniangamize (Their aim is to destroy me) (Repeat)

Nitetee Mungu, Nitetee (Defend me God, Advocate for me)
Nitetee, Bwana, pigana nao (Defend me, Lord, fight with them) (Repeat)

Matamanio yao kwangu, sio mazuri (Their desires for me are not good)
Mawazo yao, sio mazuri (Their thoughts are not good)
Mipango yaoi kwangu, sio mizuri (Their plans for me are not good)
Wananitazama kwa macho mabaya (They look at me with ill intentions)
Nitetee Mungu wangu (Advocate for me, My God)
Nitetee Bwana wangu, nakuomba Mungu (Defend me, My Lord, I pray to You God)

(Refrain)

Nimesikia mingongono, ya adui zangu (I have heard the whispers of my enemies)
Wengi wanasema, tuone atafika wapi (Saying, ‘let us see how far he goes’)
Nimesikia mingongono, ya adui zangu (I have heard the whispers of my enemies)
Wengi wanasema, tuone atafanya nini? (Sating ‘let us see what he will do’)
Fanya kitu Bwana, wajue (Do something Lord, that they may know)
Fanya kitu Bwana, wakutambue (Do something Lord, that they may know You)
Dhibitika mbele yao, wajue (Confirm yourself before them, that they may know) x2
Pigana nao, Bwana – Wajue (Fight with them, Lord – that they may know)
Nenda mbele yangu, Bwana (Go before me, Lord)
Nenda mbele yangu, nitetee (Go before me, and defend me)
Nitetee Mungu wangu (Defend me, My God)

(Refrain)

Mbinguni (Heaven) Lyrics by Sauti Sol

1 Comment


(Sung in Swahili)
Cherie, analia, analia (Cherie cries and cries)
Amechoka na dunia yake (She is tired with her world) (Repeat)
Anauliza (She asks)

Refrain:
Mbinguni ni wapi? (Where is Heaven)
Mbinguni, mbinguni, ye ye ye… (Heaven, ye ye ye…)
Mbinguni, mbinguni, ye ye ye… (Heaven, ye ye ye…)
Ah, mbinguni (Oh, Heaven)

Nimesikia malaika wakiongea (I have head the angels speaking)
Wakisema (Saying)
Ni kuzuri, ni kusawa, ye ye ye (It is beautiful and great there)

(Refrain)

Mbinguni kumejawa na malaika (Heaven is full of angels)
Hakuna hofu na shida (There is no more fear and trouble)
Kila kitu ni shwari (Everything  is well) (Repeat)

Mbinguni tutaenda na kina nani? (Who will we go to heaven with?) x2
Iyo oh oh oh x4 Iyo (Iyo oh oh oh …) (Repeat)

(Refrain)

Patakatifu Pako (In Your Holy Place) Lyrics by Erick Smith

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Patakatifu pako, hapo ndipo nahitaji (In Your Holy Place, that is what I need)
Mahali pa maana, juu ya yote (The place of importance, over all others)
Katika mikono yako, mimi najiweka (I have placed myself in Your Hands)
Nizungukwe mimi, na uwepo wako (That I may be surrounded by You Presence)

Refrain:
Niambie utakalo, Bwana (Tell me what you wish, Lord)
Nipe nguvu ya kushinda majaribu, Yesu
(Grant me the strength to overcome temptations, Jesus)
Nakuhitaji Bwana, maishani Mwangu (Lord, I need You in my life) (Repeat)

Ninachohitaji Yesu, nikufurahisha roho yako
(What I need Jesus, is to please Your Spirit)
Wewe rafiki mwema, uliye nipenda (Unaye tupenda)
(You are a Good Friend, who loved me (who loved us))
Kwa ajili yako Yesu, sisi tumekombolewa
(We are saved because of You, Jesus)
Kuwa na wewe Yesu, yashinda yote
(Being with You is better than anything else)
(Repeat)

(Refrain)

Oh Yesu, neno lako lasema (Oh Jesus, Your words says)
Siku moja katika utukufu wako (One day in your Holiness)
Yazidi miaka elfu duniani (Is better than a thousand on earth)
Yesu nisaidie kuwa katika utukufu wako (Jesus help me to be in You Holiness)
Siku zote za maisha yangu (All the days of my life)

Nahitaji mkono wako, niongozwe na wewe Bwana
(I need Your Hand, to be led by You, Lord)
Kimbilio, msaada wa karibu, ni we, ni we, ni we
(My refuge, my close help, is You, is You, is Yo)
(Repeat)

(Refrain)

Siwezi (I Cannot) Lyrics by Ruth Wamuyu

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Waniandalia meza, mbele ya maadui zangu x2
(You prepare a table before my enemies)
Nile, ninywe, mbele ya maadui zangu x2
(That I eat and drink, before my enemies)

Refrain:
Siwezi, siwezi, bila wewe Yesu siwezi x2
(I cannot, without You Jesus, I cannot)

Siogopi, ni salama, ukiwa karibu nami x2
(I am not afraid, For I am safe if you are close to me)
Wanichunga, wanitunza, siogopi ukiwa nami x2
(You defend me, You keep me, I do not fear if You are with me)

(Refrain)

Mfariji, kila saa, sitishiki ukiwa nami x2
(Comforter, at all times, I am not scared if You are with me)

Gongo lako, fimbo lako, wafariji moyo wangu x2
(Your rod, Your staff, comfort my soul)

(Refrain)

He Never Lie Lyrics by Mercy Masika

Leave a comment


I sing out a glad song
For I know that my God
He never, never lie, lie, lie, lie, lie x2
I am confident each day
And I know each day will be alright
For my God, He never, lie, lie, lie, lie, lie
He never, never lie, lie, lie, lie, lie (Repeat)

Man can lie, but God don’t lie
Man can change, but God don’t change
You, Oh Lord, Amaze me!
You Oh Lord, are Holy (Repeat)

(From the top)

You are on a class of your own x2
You stand alone, you beat them all x2
(Repeat)

You are God! x?

Lord, Lord, Lord, Lord, Lord
Your promises are true
You never, never, lie, lie, lie, lie, lie x2
Whatever You say, Whatever You say, You will do
(Lord) You never, never lie, lie, lie, lie, lie x2
Your promises are Yea and Amen
You never, never lie, lie, lie, lie, lie x2
When I think how Great You are (?)
Never, never, lie, lie, lie, lie, lie x2

He never, lie, lie, lie, lie, lie
He never, never, lie, lie, lie, lie, lie
(Repeat)

Asante Bwana (Thank You Lord) Lyrics by Angel Magoti

Leave a comment


(Languages: English, Swahili)

As the world looks upon me, as I struggle alone
They say I have nothing, but they are so wrong
In my heart, I’m rejoicing: How I wish they could see!
Thank You Lord, for Your blessings on me

There’s a roof up above me: I have a good place to sleep
There’s food on my table, shoes on my feet
You gave me Your Love Lord, and a fine family
Thank You Lord, For Your blessings on me

Najua mimi si tajiri, na nguo zangu sio mpya
(I know I am not rich, and my clothes are not new)
Sina pesa nyingi sana, lakini nina Yesu
(I do not have a lot of money, but I have Jesus)
Hili ndilo la muhimu, japo hawatatambua
(This is what is important, but they don’t know this yet)
Asante Bwana, kwa mibaraka yako
(Thank you Lord, for Your Blessings)

Nina sehemu nzuri ya kuishi, na kulala vizuri
(I have a good space to live, and to sleep well)
Chakula mezani kwangu, na viatu miguuni
(There is food on my table, and shoes on my feet)
Umenipa uzima, na familia nzuri
(You have granted me life and a good family)
Asante Bwana, kwa mibaraka yako
(Thank you Lord, for Your Blessings)

Umenipa uzima, na familia nzuri
(You have granted me life and a good family)
Asante Bwana, kwa mibaraka yako
(Thank you Lord, for Your Blessings)

Older Entries Newer Entries

%d bloggers like this: