Advertisements

Uka (Come) Lyrics by Eunice Njeri

3 Comments
(Languages: English, Kikuyu, Swahili)

I could never, ever have enough of You
And Jesus You are more than enough for me
I’m waiting on You today
I’m waiting on You today

Refrain:
Uka uka, uka uka, uka uka (Come, Come)in Kikuyu
We wait on You
(Repeat)

Milele mimi sitatosheka bila wewe (Forever I will not be satisfied without You)
Maana wewe u zaidi ya tosha kwangu mimi (For You are more than satisfaction to me)
Nakungojea leo, nakungojea leo (I wait for You today)

(Refrain)

Bridge:
Like a river, flow, just flow
Like the rain, just pour out, pour out
Like the wind, just blow, blow
Like a fire, burn
(Repeat)

Oh, oh, oh, we wait on You (Repeat)

(Refrain)

Uka uka, uka uka, uka uka (Come, come)
Uka jeso, gwetereire (Come Jesus, we wait for you)

Advertisements

Matunda (Fruits) Lyrics by Eunice Njeri Feat. Lady Bee & Rebecca Soki Kalwenze

4 Comments


(Sung in Swahili)

Sio kwangu, sio kwangu, sio kwangu (Not by my might)

Utukufu wote ukurudie wewe (May all the glory return to You)
Bwana nataka nikae kandokando ya maji (Lord I want to live by the waters)
Kisima kisicho nyauka Bwana ninywe kwako
(I want to drink You: from the well that never dries)
Nikiimba Yesu, utukufu ukurudie wewe
(When I sing Jesus, may the glory return to you)
Nikisali Bwana, maombi yangu uyasikie (When I pray, listen to my prayers)
Majira yakija Yesu, nizae matunda (Let me bear fruits, in its season)
Sikia ombi langu, leo naomba (Listen to my prayer, I pray today)

Refrain:
Nizae matunda, kwa majira yake (To bear fruits in its season)
Nisinyauke, nitendalo nifanikiwe (That I may not wither, what I do to be successful)

Ulisema nikikaa ndani yako (You said when I abide in you)
Na neno lako ndani yangu (And Your word in me)
Chochote nitakacho Baba, utanipa (Whatever I ask, will be granted)
Ishara ya mi mfuasi wako, uzao wa matunda yangu
(The sign of my discipleship is my fruits)
Mzabibu wa kweli, nami ni matawi (You are the true vine, I am the branch)
Nikiwa ndani yako nawe ndani yangu nitazaa matunda
(When I am in you, and You in me, I shall bear fruits)
Nihubiri injili, ona nikuimbie (When I preach, let me praise you)
Nikikusemasema Yesu, mbegu yangu kwako (When I speak of You Jesus, my seen is in You)

(Refrain)

Mti usiozaa matunda hukatwa na kutupwa motoni
(A barren tree is cut down and burned)
Ee Yesu ninyunyuzie maji (Father irrigate me)
Nisinyauke niyazae matunda (That I may bear fruits and not wither)
Oh Yesu unijaze nguvu, lazima niyazae matunda
(Fill me with strength to bear fruit)
Na bota ba mbuma nayo ya molimo mosantu Yesu na ngai
(That I bear fruits from you Holy Spirit my Jesus)) #Lingala

(Refrain)

Bridge:
U mzabibu wa kweli (You are the true vine)
Umenichagua nizae matunda (You’ve chosen me to bear fruits)
Nisipozaa matunda, imani yangu yangu ni bure (If I do not bear fruits, my Faith is useless)
Ni bure (Is useless)

Refrain:
Nitendalo nifanikiwe (What I do to be successful)

Bwana Yesu (Lord Jesus) by Eunice Njeri

5 Comments(Sung in Swahili)

Bwana Yesu! Bwana Yesu! (My Lord Jesus! My Lord Jesus!)
Kimbilio langu, ni wewe Baba (You are my safe haven Lord)
Tumaini langu, liko kwako Yaweh (My hope is on you Yahweh)
Mimi sina uwezo, sina Bwana mwingine ila wewe (I have neither the might nor anotherLord but you) x2

Refrain:
Wewe ndiwe Baba yangu, msaada wangu wa karibu (You are my father, my close help)
Wewe ndiwe Baba yangu, msaada wangu wa karibu (You are my father, my close help)

Haleluya, Haleluya Baba (Hallelujah Father)
Ulinifia mwokozi wangu, Dhambi zangu zote ukaziosha
(You died for me my savior, and washed away my sins
Sijapata mwingine, dunia yote kama wewe yahweh
(I do not have another one, like you Yahweh) x2

(Refrain)

Nakuinua, nakuinua (I lift you up)
Milele milele,nitakuimbia (Forever I will sing for you)
Kwa yale umenitendea Baba nakusifu (I praise you for what You’ve done for me)
Milele Milele, milele daima Bwana wangu (Forever my Lord)
Milele na milele, milele daima Bwana wangu we (Forever and ever my Lord)

Refrain 2: Hakuna kama wewe (There is None like You)
Hakuna hakuna nasema (I say there is no other)
Mbinguni na duniani tuimbe (In Heaven or on earth)
Aliye filia dhambi zangu nasema (One who died for my sins)
Mponyaji wangu ndiye Jehova rafa (My healer is Jehovah Rapha)
Hakuna hakuna naimba  (I sing that There is none other)
Hakuna hakuna nasema (I say there is none other)
Ulimwengu wote tuimbe  (Sing oh world)
Dunia yote tuseme tusemee (All the earth let us say)
Nasema hakuna hakuna hakuna (There is none)
Oh hakuna hakuna nasema  (Oh there is none I say)
Oh hakuna hakuna naimba (Oh there is none I sing)
Hakuna hakuna tuimbe  (There is none Lets sing)
hakuna hakuna nasema (There is none I say)
Hakuna hakuna naimba (There is none I sing)

%d bloggers like this: