Lipo Tumaini (There is Hope) Lyrics by Reuben Kigame and Sifa Voices Ft Jemimah Thiong’o and Princess Faridah

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Najifika jersey (I put on my poet’s clothing)
Wazia kudondoa (To drop some advice)
Kama Ayubu wa Uzi (Like Job of Uz)
Kwa wal’otiwa doa (For those with stains)
Umeshakatwa mizizi (You have been cut to the roots)
Kizi’ kilala ‘dongoni (The stump lies on the ground)

Refrain:
Lipo tumaini (But there is hope)
Kwa mti ul’okatwa (For the tree that is cut)
Maana ukikatwa (For although it is cut)
Utachipuka tena (It will sprout again)

Wamekupa kisogo (They have turned their backs on you)
Wa karibu wendani (Your closest friends)
Kote ni zogozogo (All around you is gossip)
Kunguni kitandani (Your marriage is broken)
Ni mambo ya kupiga konde (Be courageous)
Macho kazia mbinguni (And fix your eyes to heavens)

(Refrain)

Jasho lichuruza (You worked hard)
Kakubariki Jalali (And God blessed you)
Lo ikakwaruza (But the enemy attacked you)
Likapotea mali (And you lost it all)
Umebaki fukara (You have become destitute)
Wala kwa majalala (You eat from rubbish pits)

(Refrain)

Repeat: Sema (Say it!)
Aaa, Lije gharika (Though the floods come)
Aaa, Liwake jua (Though the sun shines)
Aaa, Ije dhoruba (Though the storm comes)
Aaa, Tutasimamama siye (We shall stand firm)

Repeat: Nyuma (Back)
Aaa, Haturejei (We shall not turn)
Aaa, Tumeshahama (We have already left)

Aaa (mbele) (Forwards)
Twaenda mbele (mbele) (We move forwards)

Bridge:
Tumeregarega sisi, gaturudi nyuma (We do not turn back)
Mbele tu (We only move forwards)
Raha kwa Yesu! (Joy in the Lord)
Cheza, cheza, cheza! (Dance!)
Kwa Yesu kuna tumaini (In Jesus there is hope)
Watoto wa pwani mpo? (Children of the coast, are you in the house?)
Tuko sisi hapa, tunacheza tu (We are here, we are dancing)

Tuinue tenzi (Let us raise our psalms)
Nyimbo za rohoni (The spiritual songs)
Kwake mwenyezi (To the almighty)
Kaja na imani (For He came with peace)
Kwa dalili ya maji (And with the sign of water)
Miche itachomoza (New sprouts shall emerge)

(Refrain)

Advertisement

Amenipanda (He Has Planted Me) Lyrics by Jemimah Thiong’o

Leave a comment


Refrain:
Bwana asema, amenipanda mimi
(The Lord has said, that He has planted me)
Kando ya mito yenye maji mengi
(Near the source of many waters) (Repeat)

Ni Bwana alonipanda, kwa mikono yake Baba
(It is the Lord that has planted my with his hands)
Kando ya mito yenye rehema na baraka
(Next to the source of mercy and blessings )
Kunipalilia Baba, sikosi mbolea maji
(The Lord has weeded me, I do not lack fertilizer or water)
Naishi nikiamini, siwezi nyauka nimepandwa ee
(I live believing that I will not wither, for I have been planted)

(Refrain)

Kweli Baba wa rehema, amenipanda mimi (Truly the Lord of Mercy has planted me)
Baraka zanifuata kokote niendako (Blessings follow me wherever I go)
Amenipa uhai, akalinda afya yangu (He has given me life, and protected my health)
Ndiposa nashuhudia, sifa alozipanda Mungu wangu (This is why I testify, praising my God who has planted me)

(Refrain)

Imani ya wokovu, Hushinda majaribu
(Faith of salvation, has victory over trials)
Hiyo ni baadhi ya mito nilopandwa kwayo
(This are some of the sources of waters that I am planted to)
Mambo yangu yote baba, hupanga kwa utaratibu
(All my affairs have been deliberately planted)
Kwa maana anijali, aliyenipanda Mungu wangu wee
(For He cares for me, the God who has planted me)

(Refrain)

Hakuna juu mbinguni, wala chini duniani
(There is none in heaven, or on earth below)
Anayeshinda Mungu muumba mpanzi wangu
(That defeats God, my creator, my planter)
Hunizunguka mimi, kwa damu ya mwanao
(He surrounds me, with the Blood of His Son)
Hunilinda vyema, sipati madhara kwani nimepandwa ee
(He defends me well, I am not harmed for I have been planted)

(Refrain)

%d bloggers like this: