Chorus
Kuna dawa, Kuna dawa (There is a cure, a cure) x4
Verse 1:
Nayatangazia Mataifa (I announce to all nations)
Kuna dawa na waipokee (That there is a cure; receive it)
Dawa ni Kumpokea Yesu (The cure is to receive Jesus)
Oh Kuna dawa (Oh, there is a cure) (repeat)
(Chorus)
Verse 2:
Pokea dawa bila malipo (Receive the cure without a price)
Yaponya roho na pia mwili (That cures the spirit and the body)
Yaondoa dhiki na laana (And banishes troubles and curses)
Oh, kuna dawa (Oh, there is a cure) (repeat)
(Chorus)
Verse 3:
Nawasihi wote mnywe dawa (I urge all of you to receive the cure)
Wazee kwa vijana tunywe dawa (Old and young; recieve it)
Watoto pia wapewe dawa (Children too should be given)
Oh, kuna dawa (Oh, there is a cure) (repeat)
Nafungua kinywa changu, nikusifu Baba (I open my mouth, to praise you father)
Umenitendea nimefika sasa hapa (You have done good for me so far) Wewe kweli ni rafiki, Unaniongoza ninapopotea (You are my friend, leading me when I am lost)
Upendo wako niufananishe na nani baba (What can I compare your Love to?)
Taabu nyingi kweli nilipitia (I passed through a lot of troubles) Hadi nikajipata nikikushuku (Until I found myself doubting you)
Sikujua mpango wako kwangu Baba (I was not aware of your plans for me father) Ulijua yote nikiyapitia (You knew everything I passed through) Mkono wako ulikuwa umenishikilia nisianguke (Your hand was holding me so I could not fall) Wewe kimbilio langu (You are my salvation)
Hakuna mwingine, ni wewe pekee yako (There is no other, just you)
Mbele hata nyuma, ni wewe pekee (Ahead or behind me, just you) Hakuna mwingine, ni wewe pekee yako (There is no other, just you)
Mbele hata nyuma, ni wewe pekee (Ahead or behind me, just you)
Tafuta tafuta hutampata kama yeye (Search and search, you will not find like him)
Alinitoa toka tope la dhambi (He saved me from the mud of sin)
Kama sitaona haya ya kumsifu mungu wangu (Therefore I am not afraid to praise my God) Siku zote nitamuimbia Baba (All my days I will sing for my father)
Taabu nyingi kweli nilipitia (I passed through a lot of troubles) Hadi nikajipata nikikushuku (Until I found myself doubting you)
Sikujua mpango wako kwangu Baba (I was not aware of your plans for me father) Ulijua yote nikiyapitia (You knew everything I passed through)
Mkono wako ulikuwa umenishikilia nisianguke (Your hand was holding me so I could not fall) Wewe kimbilio langu (You are my salvation)
Hakuna mwingine, ni wewe pekee yako (There is no other, just you) Mbele hata nyuma, ni wewe pekee (Ahead or behind me, just you) Hakuna mwingine, ni wewe pekee yako (There is no other, just you) Mbele hata nyuma, ni wewe pekee (Ahead or behind me, just you)
Boiboyen chebonon eng’ tamirmiret, Nenywa bounatetap kipsengwet
Boiboiyen che orogendos, amu tun kigoigoi ichek
Boiboyen cheptala eng’ iman, amu tun ngunjinin ng’ony
Ang’ Chamyet melelap agu boek imanda amu tun kiamdos ichek
Otaach obaibaichi yetindenyo
Ongeboiboitu amu o meleptanyo mising’
Otaach obaibaichi yetindenyo
Ongeboiboitu amu o meleptanyo mising’
Boiboyen che riregei iman, tun nyoru ak ichek rirenab kei
Boiboyen che tililen mugulelwek, amu tun keerei kwandanyo
boiboyen che yae kalyet, amu kigurei weritab kwandanyo
Ang’ che kiga sausa kobo imanda, nenywa bounatetap kipsengwet
Otaach obaibaichi yetindenyo
Ongeboiboitu amu o meleptanyo mising’
Otaach obaibaichi yetindenyo
Ongeboiboitu amu o meleptanyo mising’
Obaibayech urok bik iman, ak ye uso uso
Ak yemwaitain ak yoit ye tugul, komwochok agobo ane
Oboiboitu ogaskei mising’, amu o meleptangwong’ eng’ kipsengwet
Amu kigiusaus ko unotok, maotik che kindoi uno
Otaach obaibaichi yetindenyo
Ongeboiboitu amu o meleptanyo mising’
Otaach obaibaichi yetindenyo
Ongeboiboitu amu o meleptanyo mising’
Otaach obaibaichi yetindenyo
Ongeboiboitu amu o meleptanyo mising
Otaach obaibaichi yetindenyo
Ongeboiboitu amu o meleptanyo mising
Otaach obaibaichi yetindenyo
Ongeboiboitu amu o meleptanyo mising
Otaach obaibaichi yetindenyo
Ongeboiboitu amu o meleptanyo mising
Chorus:
Hachagui kabila, hachagui taifa
Hachagui tajiri, wote awapenda
Hachagu kabila, hachagui taifa
Hachagui tajiri, wote awapenda
Nilisikia kuna mpenzi ambaye hachagui
wote awapenda, wote awajali
Nilimpa maisha yangu nayo yakawa sawa
Ni mwanaume wa wanaume, hachagui hachagui
(Chorus)
Nilianza safari kwa mataifa mbalimbali
Ili nitangaze yesu na matendo yake
Wamekubali wamesema yesu ni namba moja
Ni mwanaume wa wanaume, hachagui hachagui
(Chorus)
Natangazia wazee pia na vijana
Kwani huyu mpenzi, hachagui miaka
Hata watoto anasema, wote waje kwake
Ni mwanaume wa wanaume, hachagui hachagui
(Chorus)
Nampenda huyu mpenzi aliyenipenda mbele
Tena alijitoa afe kwa ajili yangu
Damu yake alimwaga ili nisipotee
Ni mwanaume wa wanaume,
(Chorus)
Natangaza hachagui, huyu yesu awapenda eh oh
Awapenda wote, huyu yesu
Awajali wote, haleluyah
Awajali wote