Advertisements

Usiyeshindwa (Undefeatable) Lyrics by Sarah K

2 Comments(Sung in Swahili)

Mataifa yote, yanakufahamu (All nations, know You)
Kuwa wewe ni Mungu usiyeshindwa (That You are an undefeatable God) (Repeat)

Chorus:
Usiyeshindwa, usiyeshindwa (Undefeatable, undefeatable)
Wewe ni Mungu usiyeshindwa (You are an undefeatable God) (Repeat)

Makabila yote, yanakufahamu (Every tribe knows You)
Kuwa wewe ni Mungu usiyeshindwa (You are an undefeatable God) (Repeat)

(Chorus)

Na kanisa lako, linakufahamu (And your Church, knows that)
Kuwa wewe ni Mungu usiyeshindwa (You are an undefeatable God) (Repeat)

(Chorus)

Advertisements

Yupo (He’s Here) Lyrics by Sarah K

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Refrain:
Yupo  (He’s here) x8

Upo upako wa ajabu; humu (There’s a great anointing in this place)
Upo utulivu angani (There is peace in the air)
Njooni kwake Yesu, ni muweza (Come to Jesus, He is mighty)
Atawatuliza, maana yupo (He shall provide you rest, for He is here)

Refrain:

Yupo, yupo (He is here)
Avunjae nyila zote (The one that breaks every chains)
Na kubeba mizigo mizito (And carries heavy burdens)
Yupo, yupo, Kurejesha tumaini (He is here, to restore hope)
Kuwainua wanyonge (And lift the weak)
Njooni nyote, kabidhini mizigo zenu (Come all, surrender your burdens)
Atawabebea, maana yupo (He’ll carry them for you, for He’s here)

Mbona mwakawia kuja kwake? (Why hesitate coming to Him?)
Neema kuu ipo, ya ajabu (There is great and amazing grace)
Njooni kwake sasa, msihofu (Come to Him now, do not fear)
Mtamwona leo, maana yupo (You’ll see Him today, for He is here) (Repeat)

(Refrain)

Hakuna Silaha (No Weapon) Lyrics by Sarah K

10 Comments(Sung in Swahili)

Refrain:
Hakuna silaha yeyote (No Weapon)
Iliyotumwa kinyume chetu (Forged against us)
Itakayofaulu (Shall prosper) (Repeat)

Silaha yoyote itakayotumwa (Any weapon sent)
Kwa njia moja au nyingine (In one way or another)
Itawanywishwa kwa njia saba (Will be scattered  in seven directions)
Haitafaulu (It shall not prosper)(Repeat)

(Refrain)

Maneno maovu Yaliyonennwa (Curses that were said)
Na walio hai na walio kufa (By the living or the dead)
Chini ya maji na nchi kavu (Under water or dry land)
Haitafaulu (Will not prosper)(Repeat)

(Refrain)

Refrain: Hakuna x3 itakayofaulu (None that will prosper)
Neno la Mungu linasema hakuna, (The word of God says that no)
Uchawi/mapepo/uganga/ushirikina (witchcraft/demons/charms/divination)
Itakayo faulu (That will prosper)
Usiogope, simama na neno la Mungu (Don’t fear, stand in God’s word)

(Refrain)

Ananipenda (He Loves Me) Lyrics by Sarah K. Ft. Izoe

Leave a comment(Sung in Swahili)

Kuna jambo linalonifurahisha (One thing gives me joy)
Kujua ya kwamba kuna mmoja anipendaye (Knowing that there’s one that loves me)
Siyo kwa mema nitendayo bali huruma zake (Not for my good deeds, but by His mercies)
Kwa kweli mimi najua ananipenda (I know that He loves me)
(Repeat)

Ananipenda (He loves me) x4
Nina furaha kwa kuwa ananipenda (I am joyful for He loves me)
Ooooooh, ananipenda (Oh, He loves me)
(Repeat)

(From the top)

Mnyunyizi Wangu (My Irrigator/Refresher) Lyrics by Sarah Kiarie

7 Comments


(Sung in Swahili)

Uninyunyiziaye maji, wakati wa ukame (The one who refreshes me during droughts)
Huwachi ninyauke, Oh nakupenda (You do not let me wither, I love you)(Repeat)

Refrain:
Nakupenda, nakupenda (I love you, I love you)
Mnyunyizi wangu, Oh nakupenda  (My refresher, I love you) (Repeat)

Kama mti kando ya mto, Hivyo ndivyo ilivyo (Like a tree by a stream, that is how I am)
Mnyunyizi wangu, Oh nakupenda  (My refresher, I love you) (Repeat)

(Refrain)

Liseme (Name it) Lyrics by Sarah Kiarie

6 Comments(Sung in Swahili)

Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza (What is it,That He cannot handle?) x2

Chorus:
Liseme, liseme, (Name it)
litaje, litaje (Mention it)
Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza (What is it,That He cannot handle?) x2

Yeye ni Baba wa yatima (He’s the father of the fatherless)
Yeye ni mume wa wajane (He’s the husband to the widows)
Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza (What is it,That He cannot handle?) x2
(Repeat)

(Chorus)

Yeye ni mponyaji (He is the Healer)
Yeye ni mkarimu (He is generous)
Mlinzi, mfariji wa ajabu (Guardian and the great comforter)
Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza (What is it,That He cannot handle?) x2
(Repat)

(Chorus)

Niinue (Lift Me Up/ I’m Pressing On) Lyrics by Sarah Kiarie/ Enid Moraa

4 Comments(Sung in Swahili)

Version 2: by Enid Moraa (YouTube)

Mbeleni naendelea, (I’m pressing on the upward way)
Ninazidi kutembea (New heights I’m gaining every day)
Mombi uyasikie (Still praying as I’m onward bound)
Ee Bwana unipandishe (Lord, plant my feet on higher ground)

Ee Bwana uniinue (Lord, lift me up and let me stand)
Kwa imani nisimame (By faith, on Heaven’s table land)
Nipande milima yote (A higher plane than I have found)
Ee Bwana unipandishe (Lord, plant my feet on higher ground)

Sina tamaa ni nikae (My heart has no desire to stay)
Mahali pa shaka kamwe (Where doubts arise and fears dismay)
Hapo wengi wanakaa (Though some may dwell where those abound)
Kuendelea naomba (My prayer, my aim, is higher ground)

Nisikae duniani (I want to live above the world)
Ni mahali pa shetani (Though Satan’s darts at me are hurled)
Natazamia mbiguni (For faith has caught the joyful sound)
Nitafika kwa imani (The song of saints on higher ground)

(Chorus)

Nataka nipandishwe juu (I want to scale the utmost height)
Zaidi ya ee mawingu (And catch a gleam of glory bright)
Nitaomba nisikize (But still I’ll pray till Heav’n I’ve found)
Ee Bwana unipandishe (Lord, plant my feet on higher ground)
(Repeat)

(Chorus)

Notes:
The English translation in this song is not exact. The Swahili version was adopted from the original hymn, that is why the translation is the hymn itself. Otherwise, the translation differs for example as follows: (Verse 1 + Chorus)

I’m moving forward/I am pressing on/Listen to my prayers /Oh Father lift me up
Oh Father Lift me up/to stand in faith/To climb all hills/ Oh Father lift me up.

Older Entries

%d bloggers like this: