Advertisements

Ombi Langu (My Prayer) Lyrics by Sarah Mbogo

Leave a comment(Sung in Swahili)

Refrain:
Ombi langu Mungu wangu: (My prayer my God:)
Naomba nikusikie (I pray that I will listen to you)
Na moyo wangu wote, (With all my heart,)
Niishie ushuhuda wangu (to live according to my testimony)
Ili yote iwe sawa na moyo wangu (That all may be well with my soul)

Nipe moyo wa kutii, nifanye mapenzi yako (Grant me an obedient heart, to do your will)
Moyo uliyo haki, moyo uliyo safi (A just heart, a clean heart)
Moyo wa kunyenyekea, moyo wa upendo (A humble heart, a loving heart)
Nifundishe njia zako, nisikutende dhambi (Teach me your ways, that I may not sin against you)

Nipe moyo wa kutii nifanye mapenzi yako x4 (Grant me an obedient heart, to do your will)

(Refrain)

Nifundishe njia zako, nisikutende dhambi x4 (Teach me your ways, that I may not sin against you)

(Refrain)

Nipe moyo ulio haki; moyo ulio safi x4 (Grant me a just heart; a clean heart)

(Refrain)

Nipe moyo wa kunyenyekea, moyo wa upendo x4 (Grant me a humble heart, a loving heart)

(Refrain)

Advertisements

Yesu Jemedari lyrics by Wangeci Mbogo

Leave a comment

Yesu ndiye Jemedari wangu, Ni jemedari wangu, hakuna mwingine

Huyu yesu, Asifiwe yesu, asifiwe yesu, hakuna mwingine

Yesu ndiye kiongozi wangu, anionyesha njia, popote niendapo

Yesu ndiye mwokozi wangu, kamwaga damu yake, nipate wokovu

Ahh Yesu, Yesu, huyu yesu, huyu yesu, yesu
Yesu, huyu yesu, huyu yesu, yesu
Yesu, huyu yesu, huyu yesu, yesu
Yesu, huyu yesu, huyu yesu, yesu
Asifiwe yesu, asifiwe yesu, hakuna mwingine
Huyu yesu, Asifiwe yesu, asifiwe yesu, hakuna mwingine
Huyu yesu, Asifiwe yesu, asifiwe yesu, hakuna mwingine
Huyu yesu, Asifiwe yesu, asifiwe yesu, hakuna mwingine

Apewe Sifa lyrics by Wangeci Mbogo

1 Comment

mba, mba, mba, mba, mba, mba, mba, mba
mba, mba, mba, mba, mba, mba, mba, mba

Bwana wa mabwana apewe sifa, Bwana wa mabwana apewe sifa
Bwana wa mbinguni apewe sifa,Bwana wa mbinguni apewe sifa
Yeye ni mfalme apewe sifa, Yeye ni mfalme apewe sifa
Yesu mwokozi apewe sifa, Yesu mwokozi apewe sifa,

Atupenda, atujali, abariki,yeye ni mwema
Mwamba wetu, kimbilio, mfariji yeye ni mungu

Aliteseka kwa ajili yetu, Aliteseka kwa ajili yetu
Akatufia msalabani, Akatufia msalabani
Ili tupate wokovu kwake, Ili tupate wokovu kwake
Tuwe na ushindi kwa jina lake, Tuwe na ushindi kwa jina lake

Tumsifu, tumwabudu, tumwiuen, yeye ni Bwana
Jehovah Jireh, Jehovah shammah, Jehovah rafa, yeye ni Mungu

Bwana wa mabwana apewe sifa, Bwana wa mabwana apewe sifa
Bwana wa mbinguni apewe sifa,Bwana wa mbinguni apewe sifa
Yeye ni mfalme apewe sifa, Yeye ni mfalme apewe sifa
Yesu mwokozi apewe sifa, Yesu mwokozi apewe sifa,

Atupenda, atujali, abariki,yeye ni mwema
Mwamba wetu, kimbilio, mfariji yeye ni mungu
Tumsifu, tumwabudu, tumwinue, yeye ni Bwana
Jehovah Jireh, Jehovah shammah, Jehovah rafa, yeye ni Mungu

Atupenda, atujali, abariki,yeye ni mwema
Mwamba wetu, kimbilio, mfariji yeye ni mungu
Tumsifu, tumwabudu, tumwinue, yeye ni Bwana
Jehovah Jireh, Jehovah shammah, Jehovah rafa, yeye ni Mungu

Atupenda, atujali, abariki,yeye ni mwema
Mwamba wetu, kimbilio, mfariji yeye ni mungu

%d bloggers like this: