Matokeo (Results) Lyrics by Gloria Muliro

3 Comments


(Sung in Swahili)

Chorus:
Sasa nangoja matokeo (Now I await the results)
Kutoka kwako jalali (From you my almighty God)

Mimi nimefanya mitihani mingi sana (I have sat for many tests)
Nimepitia madarasa mengi sana (I have passed through many lessons)
Kwa kila darasa Yahweh (In each class, my God)
Umekuwa mwalimu wangu (You have been my teacher)
Umenifunza kuomba, umenifunza subira (You taught me to pray, and to be patient)
Umenifunza kungoja Baba (Father You taught me how to wait)
Nimekuwa mwanafunzi mwema kwako Baba (I have been a good student to you Father)

(Chorus)

Usiku mrefu sana, mbona hakupambazuki? (It’s been a long night, where is the dawn?)
Nimejaribu sana kukupendeza maishani mwangu (I have tried to please You in my life)
Nimefanya kazi, hiyo umeona Yesu (I have done Your work, You’ve seen them Jesus)
Nimetoa fungu la kumi hiyo umeona Baba (I have tithed, Father You’ve witnessed )
Nangojea, nangojea matokeo yangu (Now I await my results)
Ulisema nikitoa, nitabarikiwa (For you said that I shall be blessed  when I give)

(Chorus)

Asubuhi ikifika, ije na kicheko (When morning comes, may it bring laughter)
Asubuhi ikifika, ije na amani (When morning comes, let it bring peace)
Asubuhi ikifika, ije na furaha (When morning comes, let it come with joy)
Asubuhi ikifika, ije na jibu langu (When morning comes, may it bring my answer)

(Chorus)

Nani Kama Wewe (Who is Like You) Lyrics by Gloria Muliro ft. Man Ingwe & Mercy Linah

1 Comment(Sung in Swahili)

Ni nani kama wewe (Who is like you) x3
Mungu mkuu (Almighty God) (Repeat)

Kwa neno lako Bwana (By the word of your mouth Lord)
Uliumba dunia na vyote vilivyomo (You created the earth and all in it)
Jina lako Baba, limeinuliwa juu ya yote (Your name Father, is lifted above all others)
Hakuna, hakuna kama wewe (There is no one, There is no one like you)

(Refrain)

Uinuwae wanyonge (You lift the weak)
Wawaketisha na wafalme (And sit them amongst kings)
Hakuna uwezaye tenda ila wewe (No one can do this except you)
Nikitazama maisha yangu (When I look at my life;)
Ulikonitoa Yesu wangu (From where you’ve brought me my Jesus)
Nina sababu ya kusema, ni wewe pekee (I have a reason to say, Only you)

(Refrain)

Nani mwenye uwezo (Who has the might)
Nani mwenye rehema tele (Who has the abundant compassion)
Nani mwenye enzi kama yako (Who has dominion like yours)
Ni wewe pekee (Only you)
Wastahili sifa zote (You deserve all the praise)
Mbinguni na duniani Baba (In heaven and on earth Father)
Twakusujudu, twakuabudu, twakuheshimu (We bow to you, we worship you, we extol you)

(Refrain)

Umetukuka adonai, el shadai (You’re praiseworthy Lord, God almighty)
Mungu mwenye nguvu (Mighty God)
Ni nani mwingine kama wewe (Who else is like you?)
Hakuna wa kulinganishwa na wewe Baba (There’s no one compared to you Father)
Nani kama wewe Baba/Yahweh (Who is like you Father/Yahweh)

Msaidizi (Helper) Lyrics by Gloria Muliro

9 Comments(Sung in Swahili)

Tuma Baba tuma msaidizi(Father send The Helper)x2
Tuma Yesu, tuma msaidizi(Jesus send The Helper)x2

Yesu uliahidi wanafunzi wako (Jesus you promised your disciples)
Kwamba hautawaacha kama yatima (That you won’t leave them as orphans)
Bali utawatumia msaidizi (But will send them the Helper)
Awafunze, awape nguvu (To teach them, to strengthen them)
Awafariji mioyo (To comfort their hearts)
Nami naja mbele zako (I come before you)
Baba niko mbele zako (Father I am before you)
Naomba unitumie msaidizi (Father send me the Helper)
Anifunze, anipe nguvu (To teach me, to strengthen me)
Aniongoze kwa kazi yako (To lead me in your work)
Baba tuma msaidizi (Father send the Helper)

Refrain:
Tuma msaidizi (Send the Helper)

Naomba Baba, nisaidie (Father I pray, help me)
Nataka nguvu mpya (I pray for new strength)

Kila usiku ninapoenda kulala (Every night as I prepare to sleep)
Nafungua bila mpango ukurasa wowote (I open the Bible anywhere)
Ninasoma mistari michache tu naanza sinzia (I read a few verses and start to drift)
Nafunga Biblia naanza kuomba (I close the Bible and start to pray)
Kinachofuata naamka asubuhi kusema amina (Next thing, it’s morning)
Baba nisaidie, (Father help me)
Tuma nguvu zako, Tuma uwezo wako (Send me your strength, your might)
Tuma roho wako ndani yangu Baba (Send your Spirit inside me Father)

(Refrain)
Naomba, Nataka nguvu (I pray for strength)

Bridge:

Baba mimi siwezi chochote bila wewe (Father without you, I can do nothing)
Naomba nguvu zako Baba (I pray for your strength Father)

(Refrain)
Baba tuma, Nakuomba Baba, (Father send Him I pray)
Tuma roho wako ndani yangu (Send your Spirit inside me)
Anifunze, aniongoze, anitawale (To teach me, lead me, and rule me)
Mienenendo yangu aitawale (To rule over my ways)
Maombi yangu, kufunga kwangu aitawale (My prayers and my Fasting)
Naomba tuma Baba (I pray you send Him Father)
Roho wako anifunze neno/ aombe/aimbe ndani yangu
(Your Spirit to teach me, to interceed and praise within me)

Sitolia Lyrics (I Will Not Cry) by Willy Paul and Gloria Muliro

3 Comments(Sung in Swahili)

Fahamu anakupenda sana (Know that He loves you)
Nayo salvation yako haitadunda (And your salvation is permanent)
Ye msela, sina hela, Alikupenda bila hela (x2) (But I’m poor… He loved you poor)

Amekuwa akinihanda, amekuwa akinitesa mimi (I was followed and )
Sababu mimi (?), na sina hela (Because I’m in debt(?) and poor)
Miye fukara, just imagine (I am destitute)
Bado nafsi yangu, ni kwako wewe (But my soul is in you )
Kuokoka kwangu, ni kwako wewe (My salvation is in you)
Ni kwako, ni kwako; Ni kwako, ni wewe (It is in you)(x2)

Refrain:
Oh Sitolia mimi, Nafahamu uko na mimi jalali (I won’t cry, I know you are with me)
Iye sitolia mimi, Nafahamu upo na mimi maulana (I won’t cry, God you are with me)
Ni kweli usilie mwenzio, Maulana yuko na wewe akujali (Don’t cry, God cares for you)
Kiganjani mwake amekuweka, hautabanduka (He has kept you in His palm, you won’t fall)

Ni kweli uko mbali na mimi, Uko mbali na uga wangu (Though you are far from mr)
Lakini msela mimi huyu, Sitolia kamwe (But here I am, I will not cry)
Mwana we, mwana; nakwambia tulia (Son, I tell you to calm)
Mwana we, mwana; si vema kulia (Son, It is not good to cry)
Mola anakuangalia, anakufikiria (God watches over you, thinks about you)
Atakuangazia (He shall light your path)

Mateso ni ya muda tu, mtihani utaupita tu (Troubles are only for a time, you shall overcome)
Hata usiku uwe mrefu ndugu, kutapambazuka (Though the night be long, the dawn comes)

(Refrain)

Ni heri ni mtazamie yeye, mtazamie maulana (I am blessed to look to God)
Ni heri ni mkimbiliye yeye, mkimbilie mola (I am blessed to run to God)
Ni heri ni nimtumainie yeye, mtumaini mola (I am blessed to trust God )

(Refrain)

Follow You Lyrics By Gloria Muliro

1 Comment(Sung in Swahili)

Chorus:
Where you go I go, where you stay I stay
Where you move I move, I will follow you

Verse 1:
Unaponipeleka mie, (Wherever you’re taking me)
Si lazima nijue (It’s not a must that I know)
Unachoniwazia mie, (Your plans for me)
Si lazima nijue (It’s not a must that )
Njia zako hakika, (Your ways are right,)
mambo yako sambaba (Your works are good)
Mipango yako sawa sawa (Your plans are perfect)

(Chorus)

Hakuna dhiki (kwako) [There is no troubles there]
Hakuna chuki (kwako) wala unafiki  (No hate or hypocrisy)
(kwako, Baba kwako)[In Heaven]
Mi marafiki,(kwako) [Only friendship]
kuna amani (kwako, Baba kwako) [and there is peace]
Hakuna vita, (kwako) hakuna magonjwa(kwako) [There is no war, or diseases]
wala talaka(kwako, Baba kwako) [or divorce (in heaven)]
Kuna upendo tele, (kwako) furaha (kwako),  [There is love, and joy]
umoja (kwako, Baba kwako) [And unity (in Heaven)]

(Chorus)

%d bloggers like this: