Unatosha (You are Enough) Lyrics by Eunice Njeri

9 Comments


(Sung in Swahili)

Nimeubeba msalaba wangu (I have carried my cross)
Nikufuate wewe uliyenipenda (To follow You who loved me)
Nimeitua mizigo yangu kwako (I have surrendered my burdens to You)
Nakufuata wewe uliyenipenda (I follow You who loved me)

Chorus:
Bwana utosha, wanitosha (Lord You are enough, You satisfy me)
Mungu wa agano, wewe wanitosha (God of promises, You satisfy me)

Nasalimu amri yako ee Baba (I surrender to your calling Faher)
Sauti yako nimeisikia (I listen to your voice)
Umenivuta Bwana karibu nawe (You have brought me closer to You)
Karibu zaidi, natamani niwe (I desire to be even closer to You)

(Chorus)

Bridge:
We wangu uu sawa, sioni hofu (In you I am safe, I no longer fear)
Wanitosheleza, wanitosha (You satify me, You are enough)
Wengine mie sina, wewe wanitosha (I have no other, for You satisfy me)
Wanitosha, wanitosha (You satisfy me, You satisfy me)

(Chorus)

Shuka Baba (Come Down Father) Lyrics by Eunice Njeri

1 Comment(Sung in Swahili)

Shuka utende Yesu, Kenya tunakungoja (Come down Jesus, Kenya awaits you)
Shuka utende Yesu, Watu tunakungoja (Come down Jesus, we are waiting for you)

Refrain:
Hapa hatutoki Bwana, hadi tukuone (We won’t leave, until we see you)
Wala hatutasinzia, hadi tukuone (Neither shall we slumber, until we see you)
(Shuka ee, Shuka Baba – (Come down, Come down Father))

Jamii zilizotengana, mayatima Baba (Conflicted tribes and the orphans father)
Viumbe vyote Baba, wote tunakungoja (All creations Father, we all await)
Jamii zilizotengana, mayatima Baba (Conflicted tribes and the orphans father)
Nena neno moja, wote tunakungoja (Just say one word, we are all waiting for you)

(Refrain)

Wajane na wagonjwa, matajiri wote (The widows, the sick and the rich)
Dunia nzima yahweh, wote tunakungoja (All the world awaits you Yahweh)
Nena kwa sauti, nena neno lako (Speak with a loud voice, speak your word)
Tu tayari kusikiza, wote tunakungoja (We are ready to listen, we all await you)

(Refrain)

Bridge:
Kama siku, siku ya Pentekote (Just like the day of Pentecost)
Shuka na moto wako, ututembelee  (Descend with your fire, and visit with us) (Repeat)

(Refrain)

Jehovah Lyrics by Eunice Njeri

1 Comment


Jehovah Shalom/Nissi/El Shaddai/Adonai
Hakuna kama wewe

Jehovah! Jehovah! Jehovah! Jehovah!
Mungu wangu mkuu, Umeketi juu sana (My great God, you’re enthroned high)
Zaidi ya jua, utukufu wako wang’aa (Your glory brighter than the sun)
Wazee 24 wainama na kuinuka (24 four elders bow in worship)
Masaa 24 wakisema mtakatifu (For 24 fours saying you are holy)

Nami leo naimba, u mwaminifu (Today I sing, you are faithful)
Nami leo nasifu, nakuabudu (Today I praise, I worship you)

Refrain:
Wewe ni Mungu haulinganishwi (You are a God that cannot be compared)
Na yeyote (With anyone)
Wewe ni Bwana haufananishwi (You’re a Lord that cannot be compared)
Na yeyote (To anyone) (Repeat)

Ee Yesu! Ee Yesu! Ee Yesu! Ee Yesu! (Oh Jesus!)
Mwana wa Mungu, umeinuliwa (The son of God, you have been lifted)
Zaidi wa wote wewe ni mfalme (Higher than all kings)
Waondoa giza kila uingiapo (You remove darkness wherever you enter)
Macho yako yang’aa ni kama moto (Your eyes glow like fire)
Kwa damu yako, tumesamehewa (By your blood we are forgiven)
Sawa na utajiri wa neema yako (According to the measure of your grace)

Nami leo naimba, nakuabudu (And today I sing, I worship you)
Nami leo nasifu, uaminifu wako (And today I praise your faithfulness)

(Refrain)

Bridge:
Mwanga wangu, mwokozi wangu (My light, my saviour)
Mwokovu wangu, mtetezi wangu (My salvation, my redeemer)
Mwanga wangu, mwokozi wangu (My light, my saviour)
Ngome imara, kwako tumesimama (My refuge, I stand in you)

(Refrain)

Refrain: Tumsifu Bwana (Praise the Lord)
Enzi ni pake (Dominion is his)
Amejawa na rehema (He is full of mercy)
Njoni tumwimbie (Come let us sing to Him)
Ametuokoa Yesu (He has saved us)
Ameturehemu (For he has redeemed us)
Ametufilia Yesu (He died for Us)
Jehova anatupenda (Jehovah loves us)
Tuinue mikono yetu (Let us lift our hands)
Kwa shangwe na vigelele…. (With praise)
Yeye bado anaponya/aokoa…(He still heals/saves)…

%d bloggers like this: