Advertisements

Nimeliguza (I Have Touched) Lyrics by Paul Mwai

4 Comments


(Sung in Swahili)

Nimeligusa vazi lako Eloheenu (I have touched your garment Eloheenu[God my God])
Nayo maisha yangu, kayabadilisha (And my life is changed)
Nimekujua, Hoseenu (I have known you Hoseenu [creator])
Tena kanipa uhai bila kulipa (You’ve granted me salvation for free)
Mie nitaubeba mzigo wako rabii (I shall carry your burden Rabbi[teacher])
Kwa kuwa mzigo wako ni mwepesi sana (For your burden is light)
Nira yako ni laini, we masiya (And your yoke is easy Messiah[savior])
Natamani nifanane nawe siku zote (I desire to be like you all the days of my life)

Refrain:
Wewe ndiye Mungu, hubadiliji (You are a God that never changes)
Rohi Baba yangu, nakuabudu (Rohii [my shepherd] my Father, I worship you)
Uaminifu wako, hauna kipimo (Your faithfulness cannot be measured)
Nayo matendo yako ninayajua (And I know your works) (Repeat)

Nilikuwa mtoto, sasa mi ni mzee (I was young, now I’m old)
Sijapata siku moja umenitenga (Yet you’ve never abandoned me)
Nisi wanilinda, kama mboni yako (Nisi you protect me as your iris)
Hesabu ya nywele zangu, waielewa (You know the number of my hair)

(Refrain)

Sasa Ebeneza, jibu langu (Now Ebenezer [my help], my answer)
Pumzi uhai wangu, tegemeo langu (My living breath, my confidence)
Huna mwisho wala huna mwanzo Yahweh (You have no beginning or end)
Natamani nifanane nawe siku zote (I desire to be like you all the days of my life)

(Refrain)

Advertisements

Racing Up Lyrics by Paul Mwai

5 Comments


Well I know Lord it’s true
You’re the answer to my troubles
You’re the author and the finisher of my faith
The anchor of my life;
I’m gonna trust you my redeemer
My desire; precious Jesus
You’re familiar with my weakness

And I fix my hope upon you Jesus
You’re the author and finisher of my faith
I will trust in you all the days of my life
And I’m gonna reach to my home

Refrain
I’m in the race
Moving on, to you Father
No more turning back
I’m in the race to my destiny (Repeat)

Until I see you my redeemer
Until I see the Man who died for me
I will never lose my way
’cause I’m in the race to my destiny

(Refrain)

For I believe my savior you live
I’m gonna run the race before me
Step by step to the winning line
I’m in the race to my Father

(Refrain)

Sitolia Lyrics (I Will Not Cry) by Willy Paul and Gloria Muliro

3 Comments(Sung in Swahili)

Fahamu anakupenda sana (Know that He loves you)
Nayo salvation yako haitadunda (And your salvation is permanent)
Ye msela, sina hela, Alikupenda bila hela (x2) (But I’m poor… He loved you poor)

Amekuwa akinihanda, amekuwa akinitesa mimi (I was followed and )
Sababu mimi (?), na sina hela (Because I’m in debt(?) and poor)
Miye fukara, just imagine (I am destitute)
Bado nafsi yangu, ni kwako wewe (But my soul is in you )
Kuokoka kwangu, ni kwako wewe (My salvation is in you)
Ni kwako, ni kwako; Ni kwako, ni wewe (It is in you)(x2)

Refrain:
Oh Sitolia mimi, Nafahamu uko na mimi jalali (I won’t cry, I know you are with me)
Iye sitolia mimi, Nafahamu upo na mimi maulana (I won’t cry, God you are with me)
Ni kweli usilie mwenzio, Maulana yuko na wewe akujali (Don’t cry, God cares for you)
Kiganjani mwake amekuweka, hautabanduka (He has kept you in His palm, you won’t fall)

Ni kweli uko mbali na mimi, Uko mbali na uga wangu (Though you are far from mr)
Lakini msela mimi huyu, Sitolia kamwe (But here I am, I will not cry)
Mwana we, mwana; nakwambia tulia (Son, I tell you to calm)
Mwana we, mwana; si vema kulia (Son, It is not good to cry)
Mola anakuangalia, anakufikiria (God watches over you, thinks about you)
Atakuangazia (He shall light your path)

Mateso ni ya muda tu, mtihani utaupita tu (Troubles are only for a time, you shall overcome)
Hata usiku uwe mrefu ndugu, kutapambazuka (Though the night be long, the dawn comes)

(Refrain)

Ni heri ni mtazamie yeye, mtazamie maulana (I am blessed to look to God)
Ni heri ni mkimbiliye yeye, mkimbilie mola (I am blessed to run to God)
Ni heri ni nimtumainie yeye, mtumaini mola (I am blessed to trust God )

(Refrain)

%d bloggers like this: