Hakuna (Nothing) lyrics by Jemimah Thiong’o

1 Comment(Sung in Swahili)

Hakuna linalomshinda,(Nothing is impossible to Him)
Yesu mkombozi wangu (Jesus my Savior)
Soma Bibilia utaona,(Read the Bible and you shall see)
Yote Bwana Yesu anaweza(All that Jesus is able to do)
Hakuna lililo ngumu kwake anaweza(Nothing is impossible to him)

Chorus:

Hakuna, hakuna,(Nothing, nothing)
Hakuna linalomshinda (Nothing is impossible to Him)
Yote bwana yesu anaweza (Lord Jesus is able to do all)
Aliwatoa jasho makuhani (He awed the pharisees)
Na wazee hekaluni (And the elders at the temple)

Magonjwa yakulemea, (Illness is overwhelming you?)
Yesu aliponya hata ukoma (Jesus cured even leprosy)
Vipofu viwete na viziwi (The blind, the lame and the deaf)
Bwana yesu aliponya (All of them Jesus healed)
Isitoshe alifufua lazaro anaweza(He even raised Lazarus from the dead)

(Chorus)

Ulevi umekulemea, (Is drunkedness overwhelming you?)
Aligeuza macho kuwa divai (He turned water into wine)
wapoteza macho kwa kumikumi, (You lose your sight from cheap spirits)
Waelekea poteza maisha (You’ll end up losing your life)
Ukimwamini hautaona kiu ya pombe (Believe in Him and you won’t thirst for alcohol)

(Chorus)

Hakuna linalomshinda, (Nothing is impossible to Him)
Njaa kwa yesu sio tisho (Famine to Jesus is not a threat)
Aliwapasha elfu tano kwa mikate miwili (He fed 5000 with 2 loaves)
Kabaki kuokota elfu saba (And had seven basketfuls of leftovers)

(Chorus)

Hakuna linalomshinda, (Nothing is impossible to Him)
Baada ya kutufia msalabani (After He died for us on the cross)
Aliingia kuzimu yesu, (Jesus entered Hell)
Kanyang’anya shetani funguo (And wrested the keys from Satan)
Kampa ibilisi tetemeko kubwa sana (And caused the devil to fear.)

Mungu Wangu Nitakushukuru (My God I Will Thank You) by Rose Muhando

4 Comments(Sung in Swahili)

E mungu wangu mimi ninatukushukuru (O my God I will thank you)
Mbele ya mataifa mimi nitaimba (Before the nations I will sing)
Dunia nzima nayo itambue hilo (All the world to know that)
Kwamba jina la yesu pekee ndilo (The name of Jesus alone)
Ulimwengu mzima uokolewe kwalo (that will save the world)

Asubuhi na mapema, mimi nitaimba (Early in the morning, I will sing)
Kabla ya kinywa kunena, kwako nitaimba (Before my mouth speaks, I will sing)
Tufani ijapozidi wo, kwako nitaimba (Though troubles increase, to you I will sing)
Nijapoteswa kabisa, kwako nitaimba (Though I am persecuted, to you I will sing)
Nijapodharauliwa, kwako nitaimba (Though I am hated, to you I will sing)

Chorus:

Swiyi… Sikia e kinanda (Swiyi …. listen you guitar)
Swiyi… Amka we kinubi (Swiyi… rise you flute)
Swiyi… Sikia e kinanda (Swiyi… you listen you guitar)
Inuka e zumari, inuka kwa sauti (Rise you flute, rise aloud) (x2)
Woo na utukuzwe Mungu, Woo na utukuzwe Mungu, (God be praised)
Yee Jehova adonai, Yee Jehova adonai, (Jehova Adonai)
El gibo shalom mungu unaitika (El Gibo Shalom, God you answer)
El gibo shalom mungu unaitika (El Gibo Shalom, God you answer)

Uniondolee majivuno, komesha kiburi (remove my boast, stop my pride)
Utawale akili zangu, Bwana niongoze (rule my thoughts, Lord lead me)
Unifundishe roho yangu habari za mbingu (teach my spirit, the things of heaven)
Sikizeni eh kizazi changu, Mungu anaishi (listen my generation, God lives)
Uniondolee majivuno, komesha kiburi (remove my boast, stop my pride)
Utawale akili zangu, Bwana niongoze (rule my thoughts, Lord lead me)
Unifundishe roho yangu habari za mbingu (teach my spirit, the things of heaven)
Sikizeni eh kizazi changu, Mungu anaishi (listen my generation, God lives)

(Chorus)

NIpe moyo ya nyama, ulopondeka (Give me heart of flesh, that is teachable)
Moyo uliotulia, na unyeyekevu (a peaceful and humble heart)
Mimi si kitu kwako, ni mdhuru? tu (I am nothing but dust to you)
Mimi ni kama nani, uniinue (who am I that you should raise me?)
Unifinyange bwana, kama upendavyo (Mould me Lord, the way you like)
Unifundishe Bwana kama upendavyo (Teach me Lord, the way you like)

(Chorus)

NIkikuita mungu, unaitika (When I call you God, you answer)
Rohi eloie heika (?), noishikimu (…Hebrew (?))
Jira el shadai, Jehova oseenu(…Hebrew (?))
El elyo shammah, Mungu unaitika (…, God you answer)
Jehova shabbah, Mungu utanijibu (Jehova Shabbah, God you will answer me)
El gibo shalom, Mungu unaitika (El gibo Shalom, God you answer)
El gibo shalom, Mungu unaitika (El gibo Shalom, God you answer)
El gibo shalom, Mungu unaitika (El gibo Shalom, God you answer)

(Chorus)

Nipishe Nipite (Let Me Pass) by Rose Muhando

2 Comments(Sung in Swahili)

Verse 1:
Nakuuliza shetani umepata wapi mamlaka (I ask you devil, where did you get the permission)
Ya kukamata akili za watu a (To mess with people’s minds)
Wewe umeleta balaa umeingia makanisani (You’ve brought trouble, you have gotten into churches)
Umekamata wababa wanabaka watoto wao (You have made fathers to rape their children)
Umekamata vijana umewatwika ulevi (You have caught young men, and saddled them with alcoholism)
Bila kusahau kina mama, vikao vya masengenyo (Not forgetting mothers, and their gossip)
Sasa nimechoka na mambo yako (I’m tired of your work)
Ewe shetani, nipishe nipite (You satan, let me pass)

Chorus:
Wewe ulimwasi mungu, nipishe nipite (You who defied God, let me pass)
Uliwadanganya adamu na Eva, songea nipite (You deceived Adam and Eve, move and let me pass)
Dunia nzima imeharibika, kwa ujanja wako (The world is destroyed, for your cunning)
WEwe ulimwasi mungu, nipishe nipite(You who defied God, let me pass)
Uliwadanganya Adamu na Eva, songea nipite (You deceived Adam and Eve, move and let me pass)
Dunia nzima imeharibika, kwa ujanja wako (The world is destroyed, for your cunning)
wewe shetani unaambiwa, mwenyeji wa kuzimu (You satan you’ve been ordered, the host of hell)
Sasa nipishe nipite (Now let me pass)

Verse 2:
Hebu nipishe nipite, ninachelewa njiani (Let me pass, I’m getting late)
Yesu yu karibu kurudi, kulichukua kanisa (Jesus is almost returning to take his church)
Kanda unayo nionyesha yote yamepitwa na wakati(Whatever you show me has been passed by time)
Huna ujanja (You can’t fool me)
Kumbuka miaka elfu mbili iliyopita zamani (Remember 2000 years ago)
Yesu aliposhuka kuzimu, akakunyanganya funguo (When Jesus descended to hell, and took the keys)
Funguo za mamlaka (The keys of authority)
Nasema nimechoshwa na mambo yako (I say I am tired of you)
Wewe shetani nipishe nipite (You devil, let me pass)

(Chorus)

Verse 3:
Nakuamuru shetani wewe, nipishe nipite (I order you satan, let me pass)
Wewe umekuwa ni kikwazo kwangu, Kufika mbinguni(You have been my barrier to heaven)
Muda wako umeshakwisha, songea nipite (Your time is up, let me pass)
Sasa haleluya naenda mbinguni, hakuna mashaka (Now Haleluya I’m going to heaven, no worries)
(Repeat)

Verse 4:
Wewe ulishaaniwa, laana milele (You have been cursed forever)
Ulinyanganywa mamlaka na Yesu, Huna ujanja ee (You’re authority was taken by Jesus, you have no more cunning)
Simba wa yuda aliponguruma, mafuriko kuzimu (When the Lion of Judah roars, there is flood in hell)
Sasa haleluya twaenda mbinguni, hatuna mashaka (Now haleluya we are going to heaven, no worries)
(Repeat)

(Chorus)

Safari Lyrics by A Dawn Age Band

Leave a comment
Safari, hii safari ni ndefu boy
Safari, hii safari ni ngumu boy
Safari, hii safari oh
Safari, si tu safarini…..

Niko safarini kaza mwendo, ninakaza mwendo
Najikaza kabisa aah
Niko safarini kaza mwendo, ninakaza mwendo
nipate taji la maisha, aah
(repeat)

Hili taji la maisha (aah), Taji la maisha (aah)
NIpate taji mie eh hee, Taji la maisha

Niko safarini kaza mwendo, ninakaza mwendo
Najikaza kabisa aah
Niko safarini kaza mwendo, ninakaza mwendo
nipate taji la maisha, aah
(repeat)

Taji la maisha (aah), Taji la maisha (aah)
Nipate taji mie (aah), Taji la maisha (aah)

Vuum vuum vumm vumm, vuuuuum
vumm vumm vumm vumm, vuuuumm
vumm vumm vumm vumm, vuuuumm
vumm vumm vumm vumm, vuuuumm

Safari yetu kakatizwa, tukakwama njiani
Lakini bado tunasonga, songa mbele
Safari yetu kakatizwa, tukakwama njiani
Lakini bado tunasonga, songa mbele
Safari imeanza twende, twende twende
Safari imeanza twende, twende twende
Safari imeanza twende, twende twende
Safari imeanza twende, twende twende

Shida shida na matatizo, na mashimo njiani
Lakini kagundua mwendo, ni aste aste
Shida shida na matatizo na mashimo njiani
Lakini kagundua mwendo, ni aste aste
Safari imeanza twende, twende twende
Safari imeanza twende, twende twende
Safari imeanza twende, twende twende
Safari imeanza twende, twende twende

Vuum vuum vumm vumm, vummvumm
vumm vumm vumm vumm, vummvumm
vumm vumm vumm vuuuumm ,vummvumm

Pastor Peter na batoto ba dawn Age bameamemuka
Ai eh eh eh eh eh, eh eh eh eh eh
Ai eh eh eh eh eh, eh eh eh eh
Ee batoto ba dawn age eh, batwende safari
Batoto ba dawn age eh, batwende safari
Batoto bato bato ba dawn age eh, batwende safari

Tabu zangu (My Troubles) lyrics by Rose Muhando & Annastazia Mukabwa

10 Comments(Sung in Swahili)

Haleluya naitazamia mbingu mpya na nchi mpya
(Halelujah I look to the new heaven and earth)
Huko nitapumzika milele (There I will rest forever)

Taabu zangu zikiisha, nitamwona Bwana wangu
(When my troubles are over, I will see my Lord)
Akinikaribisha kule, karibu upumzike
(When he welcomes me there, “welcome to the rest”)
Hapa ndipo nyumbani kwako, hapa ndipo mahali pako
(“Here is your home, this is your place”)
Hapa ndipo makao yako, karibu upumzike
(This is your home, welcome to the rest)

Haleluya nitaketi kwa furaha, nitapumzika kwa mungu, nitapumzika
(Halelujah I will sit with joy, I will rest with my God, I will rest)

Nitavikwa mavazi meupe, nitavikwa taji ya ushindi
(I will be clothed with white garments, I will be crowned victorious)
Taabu zote na mateso yote, hakika vitakoma
(All my troubles and tribulations, will end for sure)
Nitaungana na malaika, maserafi na makerubi
(I will join with the angels, the Seraphim and Cherubim)
Tukiimba nyimbo za ushindi, haleluya usifiwe
(While we sing songs of victory, Halelujah be praised)

Naona mbingu zimefunguka, na Yesu yu mkono wa kuume
(I see the heavens open, and Jesus sitting at the right hand)
Akinitazama kwa upole, kwa macho yenye huruma
(Looking at me with compassionate eyes) x2

Tatazama vidonda vyangu, tatazama makovu yangu
(He will take care of my wounds, He will take care of my scars)
Niloumizwa duniani, na watu wa ulimwengu
(That I was hurt in the world, by the worldly) x2

Tachukua kitambaa, atanifuta machozi
(He will take a cloth, and wipe my tears)
Akisema pole mwanangu, Yesu tanikumbatia
(Saying I’m sorry my child, Jesus will embrace me)

Bado kitambo kidogo, nitapumzika
(Just for a little while, then I will rest)

Yesu atanipeleka, kwenye kijito cha uhai
(Jesus will take me, to the wellspring of life)
Huko taniosha mwili wangu, nitapewa mwili mpya
(There he will wash my body, and be given a renewed one)
Nami nitaimba hosana, hosana ndiye mbarikiwa
(And I will sing Hosannah, Hosannah is the blessed one)
Nitaruka kama ndama, milele hata milele
(I will jump like a calf , forevermore) x2

Tavumilia, kwa ajili yako Baba
(I will persevere for your sake father)

Yatosha walivyokuonea, Yatosha walivyokudhulumu
(Enough of the oppression, enough of the persecution)
Yatosha walivyokupiga, karibu upumzike
(Enough of the beating, welcome and rest) x2

Yatosha walivyokuudhi, Yatosha walivyokutukana
(Enough of the hurt, enough of the insults)
Yatosha walivyokuzomea, karibu upumzike
(Enough of the rebukes, welcome and rest) x2

Haleluya, mateso yangu yakiisha nitauona uso wa Mungu
(Hallelujah, when my persecutions end, I will see the face of God)
Nitamwona Yesu niliyepigwa kwa ajili yake
(I will see the Jesus I was beaten because)

Yatosha walivyokuonea, Yatosha walivyokudhulumu
(Enough of the oppression, enough of the persecution)
Yatosha walivyokupiga, karibu upumzike
(Enough of the beating, welcome and rest) x2

Yatosha walivyokuudhi, Yatosha walivyokutukana
(Enough of the hurt, enough of the insults)
Yatosha walivyokuzomea, karibu upumzike
(Enough of the rebukes, welcome and rest) x2

Yesu atanipeleka, kwenye kijito cha uhai
(Jesus will take me to the wellspring of life)
Huko taniosha mwili wangu, nitapewa mwili mpya
(There he will wash my body, I will be given a new one)

Baada ya taabu, ni furaha
(After troubles is joy)

Akisema Atakubariki [Mwenye Baraka] lyrics by Jemimah Thiong’o

1 Comment


Chorus:
Akisema atakubariki, hakuna atakayezuia
Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote
Akisema atakubariki, hakuna atakayezuia
Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote

Verse 1:
Akisema atakubariki, wala usitie shaka
Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote
Mipango yake ya ajabu, tena haibadiliki
Akisema atakuinua, ndiye mwenye kuinua
Akisema atakupa mtoto, katika umri wowote
Aliwapa Sara na Ana, lipi asiloweza

(Chorus)

Verse 2:
Akisema atakubariki, watoto wako waelimike
Wapate na shahada nyingi, hakuna atakayezuia
Akisema utapona, hakuna atakayezuia
Mama aliyetokwa na damu alipona na kazi(?) yake
Akisema atakubariki, hakuna atakayezuia
Atalinda afya yako, maana yeye ndiye mwenye afya

(Chorus)

Verse 3:
Watembelea miguu, hata baisikeli huna
Akisema uendeshe Musso, kesho utaendesha
Waishi nyumba ya matope, huna hata mavazi
Akisema atakubariki, majirani watashangaa
Akisema atakuinua, mbele ya adui zako
Atakuandalia meza ule unywe wakitizama

(Chorus) (repeat)

Sema nami (Speak To Me) Lyrics by Mamajusi Choir Moshi TZ with English Translation

2 Comments


Verse 1 (Choir):

Nimeahidi yesu kukufuata wewe,(I have promised you Jesus to follow you)
Milele bwana wangu, rafiki na mwalimu(Forever my Lord, my friend and teacher)
Nimeahidi yesu kukufuata wewe,(I have promised you Jesus to follow you)
Milele bwana wangu, rafiki na mwalimu(Forever my Lord, my friend and teacher)
vitani siogopi, karibu vita(In battle I shall not be afraid, I welcome it)
Njiani sipotei ukinitangulia(I shall not be lost on my journey if you are with me)

Verse 2 (Solo):

Nimejitoa kwako kukutumikia(I have given myself to serve you)
Siku za maisha yangu niwe nawe(All the days of my life to be with you)
Nimejitoa kwako kukutumikia(I have given myself to serve you)
Siku za maisha yangu niwe nawe(All the days of my life to be with you)
Sema nami baba, sema nami(Speak to me Father, speak to me)
Sema nami baba, sema nami(Speak to me father, speak to me)
Niko tayari mimi kukutumikia(I am ready to serve you)
Niko tayari mimi kukutumikia(I am ready to serve you)

Chorus:

Sema nami nisikie,Sauti ya upole Bwana(Talk to me, let me hear your still small voice)
Sema nami nisikie,Sauti ya upole Bwana(Talk to me, let me hear your still small voice)
Itulizayo moyo mkuu uliotaabika(That quiets a burdened spirit)
Nitie moyo mkuu uliobondeka(Give me a heart that you have moulded (?))

Verse 3 (Repeat verse 2)

(Chorus)

Verse 4:

Sema nami baba, sema nami bwana wangu(Talk to me father, talk to me my Lord)
Niko tayari sema nami bwana wangu(I am willing, talk to me my Lord)
Sema nami baba, sema nami bwana wangu(Talk to me father, talk to me my Lord)
Niko tayari sema nami bwana wangu(I am willing, talk to me my Lord)
Nyumbani kwangu sema nami bwana wangu(In my home talk to me my Lord)
Kazini kwangu sema nami bwana wangu(In my workplace, talk to me my Lord)
Niko tayari sema nami bwana wangu(I am ready talk to me my Lord)
Niko tayari sema nami bwana wangu(I am ready, talk to me my Lord)

Older Entries

%d bloggers like this: