Mungu Wangu Nitakushukuru (My God I Will Thank You) by Rose Muhando

4 Comments(Sung in Swahili)

E mungu wangu mimi ninatukushukuru (O my God I will thank you)
Mbele ya mataifa mimi nitaimba (Before the nations I will sing)
Dunia nzima nayo itambue hilo (All the world to know that)
Kwamba jina la yesu pekee ndilo (The name of Jesus alone)
Ulimwengu mzima uokolewe kwalo (that will save the world)

Asubuhi na mapema, mimi nitaimba (Early in the morning, I will sing)
Kabla ya kinywa kunena, kwako nitaimba (Before my mouth speaks, I will sing)
Tufani ijapozidi wo, kwako nitaimba (Though troubles increase, to you I will sing)
Nijapoteswa kabisa, kwako nitaimba (Though I am persecuted, to you I will sing)
Nijapodharauliwa, kwako nitaimba (Though I am hated, to you I will sing)

Chorus:

Swiyi… Sikia e kinanda (Swiyi …. listen you guitar)
Swiyi… Amka we kinubi (Swiyi… rise you flute)
Swiyi… Sikia e kinanda (Swiyi… you listen you guitar)
Inuka e zumari, inuka kwa sauti (Rise you flute, rise aloud) (x2)
Woo na utukuzwe Mungu, Woo na utukuzwe Mungu, (God be praised)
Yee Jehova adonai, Yee Jehova adonai, (Jehova Adonai)
El gibo shalom mungu unaitika (El Gibo Shalom, God you answer)
El gibo shalom mungu unaitika (El Gibo Shalom, God you answer)

Uniondolee majivuno, komesha kiburi (remove my boast, stop my pride)
Utawale akili zangu, Bwana niongoze (rule my thoughts, Lord lead me)
Unifundishe roho yangu habari za mbingu (teach my spirit, the things of heaven)
Sikizeni eh kizazi changu, Mungu anaishi (listen my generation, God lives)

(Chorus)

NIpe moyo ya nyama, ulopondeka (Give me heart of flesh, that is teachable)
Moyo uliotulia, na unyeyekevu (a peaceful and humble heart)
Mimi si kitu kwako, ni mdhuru? tu (I am nothing but dust to you)
Mimi ni kama nani, uniinue (who am I that you should raise me?)
Unifinyange bwana, kama upendavyo (Mould me Lord, the way you like)
Unifundishe Bwana kama upendavyo (Teach me Lord, the way you like)

(Chorus)

NIkikuita mungu, unaitika (When I call you God, you answer)
Rohi eloie heika (?), noishikimu (…Hebrew (?))
Jira el shadai, Jehova oseenu(…Hebrew (?))
El elyo shammah, Mungu unaitika (…, God you answer)
Jehova shabbah, Mungu utanijibu (Jehova Shabbah, God you will answer me)
El gibo shalom, Mungu unaitika (El gibo Shalom, God you answer)
El gibo shalom, Mungu unaitika (El gibo Shalom, God you answer)
El gibo shalom, Mungu unaitika (El gibo Shalom, God you answer)

(Chorus)

Moyo Wangu lyrics by Rose Muhando

Leave a comment

Verse 1(Rose Solo):
Moyo wangu, moyo wangu, sifa mpe Yesu (My soul, my soul, give praise to Jesus)
moyo wangu, moyo wangu, sifa mpe Yesu (My soul, my soul, give praise to Jesus)

Chorus:
Moyo wangu, moyo wangu, sifa mpe Yesu (My soul, my soul, give praise to Jesus)
moyo wangu, moyo wangu, sifa mpe Yesu (My soul, my soul, give praise to Jesus)

(Rose Solo)

(Chorus)

Rose Solo:
Moyo wangu, moyo wangu, sifa mpe Bwana (My soul, my soul, praise the Lord)
moyo wangu, moyo wangu, sifa mpe Yesu (My soul, my soul, give praise to Jesus)

(Chorus [X4])

Verse 2:

Yeye akupenda, yeye akujali (He loves you, He cares for you)
Usifadhaike moyo, tulia kwa Bwana (Do not despair my soul, rest in the Lord)
Dunia ni shida, dhiki nyingi kwako (The world is troublesome)
Usilalamike moyo, tulia kwa Bwana (Do not fret my soul, rest in the Lord)

(Chorus [X4])

Verse 3:
Anaweza sasa, kuponya maisha yako (He can heal your life right now)
Kukufariji moyo, Yesu yupo tena (To comfort you my soul, Jesus is there)
Yeye ndiye jana, sasa na milele (He is the same yesterday, today and forever)
Alfa na Omega Yesu, wewe moyo (Alpha and Omega Jesus, you are my soul)

(Chorus)

%d bloggers like this: