(Sung in Swahili)

Nimeligusa vazi lako Eloheenu (I have touched your garment Eloheenu[God my God])
Nayo maisha yangu, kayabadilisha (And my life is changed)
Nimekujua, Hoseenu (I have known you Hoseenu [creator])
Tena kanipa uhai bila kulipa (You’ve granted me salvation for free)
Mie nitaubeba mzigo wako rabii (I shall carry your burden Rabbi[teacher])
Kwa kuwa mzigo wako ni mwepesi sana (For your burden is light)
Nira yako ni laini, we masiya (And your yoke is easy Messiah[savior])
Natamani nifanane nawe siku zote (I desire to be like you all the days of my life)

Refrain:
Wewe ndiye Mungu, hubadiliji (You are a God that never changes)
Rohi Baba yangu, nakuabudu (Rohii [my shepherd] my Father, I worship you)
Uaminifu wako, hauna kipimo (Your faithfulness cannot be measured)
Nayo matendo yako ninayajua (And I know your works) (Repeat)

Nilikuwa mtoto, sasa mi ni mzee (I was young, now I’m old)
Sijapata siku moja umenitenga (Yet you’ve never abandoned me)
Nisi wanilinda, kama mboni yako (Nisi you protect me as your iris)
Hesabu ya nywele zangu, waielewa (You know the number of my hair)

(Refrain)

Sasa Ebeneza, jibu langu (Now Ebenezer [my help], my answer)
Pumzi uhai wangu, tegemeo langu (My living breath, my confidence)
Huna mwisho wala huna mwanzo Yahweh (You have no beginning or end)
Natamani nifanane nawe siku zote (I desire to be like you all the days of my life)

(Refrain)

Advertisement