Ngegama Lakho (In Your Name) Lyrics by Xolly Mncwango

Leave a comment


(Sung in Zulu)

NgeGama Lakho (In Your Name)
Kulunga konke (All is well)
Uyiqiniso (You are truth)
Ungukulung’ Uyingcwele (You are goodness, You are Holy)
Nkosi yezulu (King of the Heavens)

Repeat: Uyingcwele Nkosi yeZulu (You are Holy, Heavenly King)

Namlilia Malebo (I Cry for Malebo) Lyrics by Faustin Munishi

Leave a comment


(Sung in Kiswahili)

‘Na huzuni rohoni, mimi siimbi nalia (My heart is sorrowful  I do not sing but  cry)
Namlilia Malebo amekataa kuokoka (I cry for Malebo who has refused to be saved)
Nilizoimba ni nyingi nikimuonya Malebo (I have sung many songs warning Malebo)
Bado hajabadilika, sasa siimbi nalia (He still has not changed; now I do not sing but cry)

Ye’ ni wangu rafiki tuliyesoma pamoja (He is my friend whom we studied together)
Michezo ya utotoni tuliicheza pamoja (We played childhood games together)
Sasa ni watu wazima na mimi nimeokoka (Now we are adults and I am saved)
Malebo nikimwambia, ye’ anaruka kimanga (When I tell Malebo, he dismisses it)

Si yeye pekee yake ninao wengi rafiki (He is not the only one; I have many friends)
Niliwaimba kimbele kwenye kaseti ya pili (I sang about them earlier on the second cassette)
Wengine wamekubali wamemwamini Mwokozi (Others have accepted the Savior)
Yesu amewasamehe, amebakia Malebo (Jesus has forgiven them; only Malebo remains)

Tangu zamani huwa akinitafuta (He’s searched for me a long time)
Aninunulie chang’aa, bangi, sigara na beer (To buy me local brew, weed, cigarettes and beer)
Nikimwambia Malebo ninunulie chakula (When I tell Malebo to buy me food)
Matusi ‘tanitukana amelalia maskio (He insults me, and does not listen)

‘Menitusi Malebo uongo kuninenea (Malebo has insulted me and lied about me)
Mimi nimemsahehe najua tatizo lake (I have forgiven him for I know his problem)
Yeye mtumwa wa dhambi anataka ukombozi (He is a slave of sin who needs deliverance)
Mpaka ‘takapokubali, Yesu atamkomboa (Until he accepts, and Jesus redeems him)

Nakuita Malebo uje kwa Yesu utubu (I call to you Malebo, come to Jesus and repent)
Yeye ni mwenye huruma atakusamehe kabisa (He is merciful; He will forgive you )
Jina lako la Malebo litaandikwa mbinguni (Your name, Malebo, will be written in heaven)
‘takuwa kiumbe kipya, ya kale yote ‘tapita (You will become a new creation; all old things will pass away)

Mkumbuke Mrefu alivyokuwa mbaya (Remember how Mrefu used to be bad)
Tangu alipokubali kumpa Yesu maisha (Since he accepted to give his life to Jesus)
Ameshambadilisha sio Mrefu wa kale (He has been changed, he’s no longer the old Mrefu)
Sasa anaihubiri injili yake Mwokozi (Now he preaches the Savior’s gospel)

Nawajua vizuri Pili na Tatu pamoja (I know Pili and Tatu very well)
Walivyokuwa wakali watoto wa mtaani (How tough they were as street children)
Sasa wameshaokoka wamechanua vizuri (Now they are saved and are flourishing)
Wote wameshaolewa wana watoto nyumbani (They are all married and have children at home)

‘Meshanawa mikono, damu yako sighairi (I no longer have have a dispute with you)
Yesu anayekupenda, njoo kwake anakuita (Jesus who loves you, is calling you)
Unanijua vizuri, sina haja kueleza (You know me well, I don’t need to explain)
Yesu ‘linibadilisha, nawe ‘takubadilisha (Jesus changed me, and He will change you too)

Anakuita ulivyo, uje akubadilishe (He is calling you as you are, come to be changed)
Acha kutia mashaka anajua kazi yake (Stop doubting; He knows His work)
Kazi yako kuamini, kutubu makosa yako (Your role is to believe and repent your sins)
Ya Yesu ni kusamehe, na kukuosha kabisa (Jesus’ work is to forgive and to cleanse you)

Hima njoo kwa haraka, wacha kusita Malebo (Come quickly Malebo, stop hesitating)
Ona ulivyochakaa meno sita wametoa (Look how worn out you are; you’ve lost six teeth)
Wale ul’owadanganya ukawaibia mapesa (Those you deceived and robbed)
Wengine wameshaapa watakung’oa mengine (Others have vowed they will pull out more of your teeth)

Sio wote wapole kama unavyoniona (Not everyone is as gentle as me)
Pesa ulizonirusha mimi ‘menyamaza kimya (You scammed me, but I stayed silent)
Sasa wale wa Zaire ul’owaibia madola (Now those from Zaire whom you stole dollars from)
‘Mesema wakikuona macho yako ‘tayang’oa (They say if they see you, they will gouge out your eyes)

Najua masikani unakoishi Malebo (I know the places where you live, Malebo)
Jijini Daresalama keko ya Magurumbasi (In Dar es Salaam, Magurumbasi ward)
Pale mjini Arusha uko ungali Mitedi (There in Arusha, you are still in Mitedi)
Na jiji la Nairobi watakupata Majengo (And in Nairobi city, they will find you in Majengo)

Kote nimezunguka sijakuona kabisa (I have searched everywhere to find you)
Wazazi wanisumbua hawakuoni nyumbani (Your parents trouble me wanting to see you)
Mkeo yule wa tano anakutaka nyumbani (That fifth wife of yours wants you at home)
Wale ul’owafukuza wote pia wamerudi (Those you chased away have also returned)

Nakuita Malebo uje kwa Yesu utubu (I call to you Malebo, come to Jesus and repent)
Yeye ni mwenye huruma atakusamehe kabisa (He is merciful; He will forgive you )
Jina lako la Malebo litaandikwa mbinguni (Your name, Malebo, will be written in heaven)
‘takuwa kiumbe kipya, ya kale yote ‘tapita (You will become a new creation; all old things will pass away)

Emmanuel Lyrics by Vestine & Dorcas

Leave a comment


(Sung in Kiswahili)

Kwa upande wako, nitasimama imara (I will stand firm by your side)
Hata marafiki wanitenge (Even if friends abandon me)
Kila mahali (Everywhere)
Nitazungukwa na neema (I will be surrounded by grace)
Nitazidiwa na nyimbo za sifa (I will overflow with songs of praise)

Nimeona, waliopondwa (I have seen the broken)
Wamerejeshwa tena (Being restored again)
Waliochoka, hupata nguvu mpya (The weary receive new strength)
Roho tasa iliokolewa kwa pumzi yako takatifu (Barren spirits are revived by your holy breath)

Pre-Refrain:
Kwa kila ajabu uliotenda (For every miracle you performed)
Niliona sababu za kukuabudu (I saw reasons to worship You)
Kwenye kila chozi ulilofuta (In every tear you wiped away)
Kuna ishara ya ukuu wako (There is a sign of your greatness)
Ukiishi nami Yesu (If you are with me, Jesus)
Nimuogope nani, Yesu? (Whom should I fear, Jesus?)
Askari wangu Hodari (My mighty warrior)
Ukiishi nami Yesu (If you are with me, Jesus)
Nimuogope nani, Yesu? (Whom should I fear, Jesus?)
Askari wangu Hodari! (My mighty warrior!)

Refrain:
Bila masharti ulinichagua (Without conditions you chose me)
Ulinipenda jinsi nilivyokuwa, Emmanuel (You loved me just as I was, Emmanuel)
Siwezaje kuhisi kubarikiwa (How could I not feel blessed)
Kwa wema wako kubwa, uliomimina (By the great goodness that you poured out) (Repeat)

Post-Refrain:
Kwa Juu yangu (Over me / Above me)
Oh, niligonga mlango (Oh, I knocked on the door)
Oh, ukanifungulia (Oh, you opened for me)
I will Glorify You
I go lift you high
Kwa uhuru nimepata (For the freedom I have received)

Umekaa nami katika dhoruba (You stayed with me in the storm)
Kupitia moto tumekuwa pamoja (Through the fire we have been together)
Mioyo yetu ilijaliwa na woga (Our hearts were filled with fear)
Huruma yako ikanikomboa (But Your mercy set me free)

Upendo wako ni ngao yangu (Your love is my shield)
Goliati hatanizoea (Goliath will never overcome me)
Ushindi wako ni fahari yangu (Your victory is my pride)
Fimbo yako inaniongoza (Your staff guides me)
Mwana Kondoo mwenye miujiza (Miracle-working Lamb of God)
Ushindi wako ni fahari yangu (Your victory is my pride)

(Pre-Refrain + Refrain + Post-Refrain)

Kwa pleasure na Sorrow
Through every hollow
I will always walk in the steps You called me to follow
Katika kila tatizo (In every trouble)
Iwe kubwa au dogo (Whether great or small)
Nitaweka imani yangu yote kwako (I place all my faith in You) (Repeat)

(Refrain + Post-Refrain)

Bwana Atawapigania (The Lord Will Fight for You) Lyrics by Christina Shusho

Leave a comment


(Sung in Kiswahili)

Refrain:
Bwana ‘tapigania (The Lord will fight for us)
Nanyi mtanyamaza kimya (And You will be rendered silent)
Kimya, kimya, kimya (Silent, silent, silent)
Hata wakikimbia (Even if they rush us)
Bwana anatupigania (The Lord will fight for us)
Kimya, kimya, kimya (Silent, silent, silent) (Repeat)

Mbele, mbele (Forwards, forwards) x3
Tunasonga mbele (We move forwards)
Mbele, mbele (Forwards, forwards) x3

Bwana atatulinda (The Lord will defend us)
Na mabaya yote (Against all evil)
Kimya, kimya, kimya (Silent, silent, silent)
Hata wakikimbia (Even if they rush us)
Bwana anatupigania (The Lord will fight for us)
Kimya, kimya, kimya (Silent, silent, silent)

(Refrain)

Mbele, mbele (Forwards, forwards) x3
Tunasonga mbele (We move forwards)
Mbele, mbele (Forwards, forwards) x3 (Repeat)

Oranmonise (The One Who Sends) Lyrics by Sunmisola Agbebi

Leave a comment


(Sung in Yoruba)

Oh…

(Jesu) O n bamilo (He/Jesus walks with me)
Bi akogun (Like a warrior)
O ń mu mi rin (He leads me)
Ko da mi da (Not giving up on me)
(Emimimo) O ń to mi lo (The Holy Spirit/He guides me)
S’ibi giga (To greater heights)
O ran mi niṣé faya ti mi (He sent me on assignment and backs me up) (Repeat)

Refrain:
Oranmonise fayati mi (The One who sends and strengthens)
O ran mi niṣé faya ti mi (He sent me on assignment and backs me up)
Jesu ran mi ni se fayati mi (Jesus sent me on assignment and backs me up)
O ran mi niṣé faya ti mi (He sent me on assignment and backs me up) (Repeat)

(From the Top)

He’s my Lord and He’s my Shepherd
He will lead and I will follow
He’ll never leave, He won’t forsake me
Jesu ran mi ni se fayati mi (Jesus sent me on assignment and backs me up) (Repeat)

(Refrain)

(Verse)

(Refrain)

Oh…

Older Entries