(Sung in Swahili)

Jehovah Jireh, msaada wangu (God my provider, my helper)
Nissi, Jehovah Shalom (My Banner, God of Peace)
(Repeat)

Abba Father Yahweh Mungu (Abba Father, Lord God)
Nilipopotea ulimtuma mwanawe Yesu mkombozi
(When I was lost you sent your son Jesus the Saviour)
Ukanikubali Baba, ukanirudisha mimi kwako
(You accepted me Father, and restored me to you)
Upendo huo ni wa ajabu (Amazing love!)

(Refrain)

Jina ndilo ngome, ngome imara (Your name is a strong tower)
Watakatifu hukimbilia, wakawa salama (The righteous run to it and are safe)
Mkate wa uhai, maji wa uzima (Bread of Life, Living Water)
Ni wewe Bwana, ni wewe Bwana (It is you Lord, it is You Lord)

(Refrain)

Majina yako ni mengi, lakini mimi nakuita (You have many names, but I call you)
Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu (Wonderful Counselor, Mighty God)
Baba wa milele, Mfalme wa ajabu (Everlasting Father, Prince of Peace)

(Refrain)

Advertisements