(Sung in Swahili)

Wanipa amani, wanipa uwezo, ni wewe tu (You give me peace and ability, only You)
Kiongozi wangu, jemedari wangu, ni wewe tu (My leader, my commander, only You)
Nakutegemea, nakuabudu mwokozi wangu (I depend on you, I worship you my Saviour)
Hakuna mwingine kama wewe mwokozi wangu (There is no one like You, my Savior)

Refrain:
Ni wewe tu, ni wewe tu… (Only You….)

Waandaa meza mbele yangu Baba, ni wewe tu (You prepare a table before me Father, only You)
Ninatembea, wanikinga kutoka maovu (You protect me from evil while walk)
Nakupa maisha yangu, Nakupa uwezo wangu (I give you my life and my ability)
Nakupa upendo wangu, ni wewe tu (I give you my love, only You)

(Refrain)

Bridge:
Baba nakupenda (Father I love You)
Yesu wewe wangu (Jesus You are mine)

(Refrain)