Nimekuja Kusema (I Have Come to Say) Lyrics by Sarak K and Shachah Team

1 Comment


(Sung in Swahili)

Repeat: Nimekuja kusema asante (I have come to say thank you)
Nimekuja kusema ahsante (I have come to say thank You)
Ahsante kwa wema wako, na fadhili zako Baba (Thank you for Your Goodness, and Mercies Father)
Mimi nimekuja kusema ahsante (I have come to say thank you)

Refrain:
Asante! Ahsante! (Thank you! Thank you!)
Nimekuja kusema, ahsante (I have come to say thank You) (Repeat)

Repeat: Nimekuja kusema ahsante (I have come to say thank you)
Shukrani zangu, nazileta kwako (My thanksgiving, I bring to You)
Shukrani zangu, Baba zipokee (My thanksgiving, Father receive them)
Moyo wangu washukuru, nafsi yangu yakuhimidi Baba (My heart thanks You, My spirit worships You)
Kwa fadhili zako, na wema wako (For Your mercies, and Your Goodness)

(Refrain)

Repeat: Refrain
Umetutoa mbali, umetupeleka mbali (You have brought us from far, You are taking us far)
Tumeona mkono wako, ukiwa pamoja nasi (We have seen Your hand, being with us)

(Refrain)

Jemedari (General) Lyrics by Bella Kombo ft John Kavishe

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Ni Jemedari mkuu (He is the great General) x3
Ni Jemedari x3 mkuu (He is the great General) (Repeat)

Jehovah Nissi, Jehovah Nissi (The Lord my Banner)
Ni Jemedari mkuu (Is the Great General) (Repeat)

Vita hii si yangu, pekee yangu (The battle is not mine alone)
Unapigana wewe (You fight for me)
Maadui ni wengi, mbele yangu (The enemies before me are many)
Kwa nguvu zangu siwezi (I cannot overcome with my strength alone)
Nyuma kuna maadui, mbele bahari (Behind me are enemies, in front me an ocean)
Kwa mkono wako nitavuka (But by Your hand, I shall cross)
Ujasiri wangu, ni kwa neno lako (My courage is in Your word)
Ni kwa neno, ni kwa neno lako (It is in Your word, it is in Your word)
We Jemedari, Jemedari (You are the General, the General)

(Refrain)

Wanipigania, wanishindia vita (You fight for me, You win battles for me)
Jemedari Mkuu (The Great General) (Repeat)

Yamebadilika (Things Have Changed) Lyrics by Komando wa Yesu ft Madam Martha

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Mtakaa asubuhi, kiza kitaingia
(You will wait from morning, until darkness come)
Kusubiri aibu yangu kama mlivyozoea
(Waiting for my shame like you’re used to)
Ina maana hamjui, imebaki historia
(But you do not know, that that is now history)

Kati ya watakaofutwa machozi
(From among those whose tears would be wiped)
Nami nimechaguliwa (I have been chosen)
Kilio changu cha muda mrefu, amekisikia
(My longstanding cries, He has heard them)
Hakuna tena cha mikosi: ni kufanikiwa
(There is no more troubles: Now it is prospering)

Refrain:
Wa zamani si wa sasa (The one  of the past is not of the present)
Mambo yamebadilika, eh (Things have changed)
Imekula kwe- imekula kwenu eh (Now shame is on you)

Namjua ninayemtumikia (I know whom I serve)
Namjua ninayemwimbia (I know whom I praise)
Mfalme wa wafalme (King of kings)
Funguo ya maisha yangu (Keys of my life)

Mlinicheka sana (You laughed o much)
Mpaka kudiriki kusema (That you could not speak)
Namwamini Mungu, asiyeona (I believe in God who does not discriminate)

Na niliposema nitajenga majumba (When I said I will build houses)
Yaani, mlicheka sana (You laughed at me)
Niliposema nitamiliki magari (When I said I will drive cars)
Mkaguna “mhh, ndoto ya mchana” (You complained “Mh, daytime dreams”)
Mkasema ni ndoto, ndoto (You said it was all dreams)
Niache utoto (I should grow up)
Maana haiwezekani (Because they were impossible)

Kumbe yupo Msemaji wa Mwisho (But there is one with the final say)
Anaandaa kesho yangu (He prepares my tomorrow)
Nisibakie kama jana (For me not to remain like yesterday)
Aibu hiyo (Shame to you)

Baba yangu si kiziwi (My father is not deaf)
Hata asinisikie (That he would not listen to me)
Baba yangu si kipofu (My father is not blind)
Hata asinione (That He may not see me)
Baba yangu si mchoyo (My father is not selfish)
Hata asinibariki (That he may not bless me)
Mlipanga mabaya (You planned evil on me)
Imekula kwenu (Shame now is on you)

Wa zamani si wa sasa (The one  of the past is not of the present)
Mambo yamebadilika (Things have now changed)
Mlipanga nife (You planned for my demise)
Imekula kwenu, eh (Now shame is on you)

(Refrain)

Wa zamani si wa sasa (The one  of the past is not of the present)
Yale yaniyonitesa (What persecuted me)
Nayo yamebadilika (Now has changed)
Imekula kwenu eh (Now shame is on you)

(Refrain)

Walizoea kuona naharibikiwa (They got used to my spoilt plans)
Wakasema sitafanikiwa (They said I will not be successful)
Mungu, amebadilisha mambo (God, has changed things)

Pale akili yenu ilipoishia (Where your thoughts ended)
Baba yangu nd’o anapoanzia (That is where my Father started from)
Jambo, kufanya jambo (To do great things)

Mtakaa barazani kuniongelea (You will sit in your councils, speaking against me)
Mabaya kuniombea (Praying evil on me)
Ila ng’ambo, nitavuka ng’ambo (But I will cross over)

Kama ni kiwete nimetembea (If I was lame, I have now walked)
Aibu kaniondolea (He has removed my shame)
Mimi sio yule wa jana (I am not as I was yesterday)

(Refrain)

Tunaye Baba mwenye uweza, Alfa na Omega
(We have a father who is capable, Alpha and Omega)
Huinua wanyonge toka mavumbini machoni pa adui
(He lifts the weak from dust, in front of their enemies)

Unayenisikiliza, kipi kinakuliza?
(The one who listened to me, what is bothering you?)
Mwambie Yesu, achana na wanadamu hao
(Tell Jesus, leave those humans alone)

Hata wakuite tasa, sawa (Even if they call you barren, it is ok)
Waseme masikini, sawa (They say you are poor, it is OK)
Waseme huolewi (They said you cannot get married)
Matusi yote wamalize (Let them finish all their insults)

Wala usiwajibu, sawa (But do not respond to them, OK)
Nyamaza kimya, sawa (Be quiet, OK)
Kisasi si chako wewe (Revenge is not yours to mete)
Mambo yatabadilika (Things will change)

(Refrain)

Mimi si yule wa jana, wa sasa (I am not like yesterday)
Namuona Bwana, badilika (I have seen my Lord, and changed)
Usiku na mchana (Day and night)
imekula kwenu (Imekula kwenu eh) (Shame is on you)

Yaliyoshindikana, wa sasa (What was blocked, now is different)
Yamewezekana (All is possible)
Hata useme hapana (Even if you say no)
Imekula kwenu, imekula kwenu eh (Shame is on you)

(Refrain)

Babe Ngisite / Ngiyabonga (Father Help Me / I Give Thanks) Lyrics by Takie Ndou

Leave a comment


(Sung in Swati)

Babe ngisite ngoba mine (Lord help me)
Mgithembele kuwe (For my trust is you)
Babe ngisite ngoba mine (God help me because)
Mgithembele kuwe (My trust is you) (Repeat)

Ngiyabonga, ngiyabonga ( I am thankful, I give thanks)
Ukungisibekela (For protecting me)
Ngiyabonga, ngiyabonga (I am thankful, I give thanks)
Ukungibamb’isandla (For holding my hand) (Repeat)

(From the Top)

Everlasting Lyrics by Kanjii Mbugua

Leave a comment


(Languages: English, Swahili)

You love, is higher than the mountain tops
Your strength, a river that won’t ever stop
Your mercy, is endless and covers every wrong
You are always and forever God (Repeat)

If it wasn’t for your love for us (Love for us)
We’d be drifting on the ocean, lost (Ocean, lost)
Your love has pulled us from the miry clay (miry clay)
The rock of ages who will never change

Refrain:
Everlasting Bwana (Lord)
Upendo wa milele (Everlasting Love)
Everlasting Baba (Father)
Neema ya milele (Forever Grace)
Everlasting Yesu (Jesus)
Rehema ya milele (Forever Merciful)
Everlasting, Milele na milele (Forever and forever)

Your name, has power, over everything
Your word, a fountain of everlasting peace
Your voice, is thunder, to the enemy
You are always and forever God

(Bridge)

(Refrain)

No one (no one), Nothing (nothing)
Compares to You, God
Your love (your love), Endures (endures)
For all of time

(Refrain)

Older Entries