(Sung in Swahili)

Ni wewe, Mungu uniteteaye (It is You, God my defender)
Ni wewe, giza waitetemesha eh (It is You, who shake the darkness) (Repeat)

Unawafungua wote waliofungwa, eh (You have released all those who were shackled)
Unawanyoshea mkono wanaozama eh (You stretched Your hand to the ones drowning)
Wewe ni kimbilio kwa wote wanaokutafuta, eh (You are a Refuge for all who seek You)
Nimekukimbilia kwako ndiyo salama (I have run to You, where it is safe)
Wewe Mungu wa zama, ni vile vile kama jana (You are the Ancient God, the one like yesterday)
Wewe Mungu wa zama, Yahweh haukati tamaa, eh (You are the Ancient God, who do not give up)

(Refrain)

Mungu wa amani, Mungu wa mapendo (God of Peace, God of Love)
Na uhai, wewe ndiwe ngao (Of Life, You are the shield)
Shaloma, Abba oh (Shalom, Abba oh)
Mungu wangu, wewe ushindi wangu, ni we (My God, You are my victory)
Ni nani atatukuhumu, na Yesu umefufuka eh? (Who can accuse us, while Jesus You resurrected?)
Mkono wa Mungu wa kuume, umeketi utuombee eh (The Right Hand of God, there You sit and pray for us)
Ni nani atatukuhumu, na Yesu umefufuka, eh (Who can accuse us, while Jesus You resurrected?)
Mkono wa Mungu wa kuume, umeketi utuombee eh (The Right Hand of God, there You sit and pray for us)

(Refrain)

Advertisement