(Sung in Swahili)

Je, ni nani wa kulinganishwa na we? (Who can be compared to You?)

Walikufananishwa na Musa (They compared You with Moses)
Walikufananishwa na Eliya (They compared You with Elijah) (Repeat)

Refrain:
Hayupo kama wewe (But there is none like You)
Hayupo kama wewe (There is none like You) (Repeat)

Walikufananishwa/Wanakufananisha na Musa(They compared/are comparing You with Moses)
Walikufananishwa/Wanakufananisha na Eliya (They compared/are comparing You with Elijah) Repeat)

(Refrain)

Je, ni nani wa kulinganishwa na we? (Who can be compared to You?)
Je, ni nani wa kufananishwa na we? (Who can be compared to You?) (Repeat)

(Refrain)

Advertisement