Nipe Neema (Grant Me Grace) Lyrics by Msanii Music Group

Leave a comment


(Sung in Kiswahili)

Wapo waliotembea kwa neema yako (There are those who walked in your grace)
Uliwafanya wakubalike kwa wengi (You made find favor by many)
Na walipo simama katikati ya watu (And when they stood among the people)
Uso wao ukang’aa kwa kibali (Their faces shone with favor)
Ah, waliandamwa na wivu wa wengi (Ah, they were pursued by the jealousy of many)
Lakini mipango yao haikusimama (But the jealous plans did not succeed)
Na ukanyanyua vichwa vyao juu (You lifted their heads high)
Kwa sababu mkono ulikuwa nao (For your hand was upon them)

Refrain:
Nipe Neema yako Bwana (Give me Your grace, Lord)
Nikubalike machoni pa watu (To find favor in the eyes of people)
Milango ifunguke mbele yangu (Let doors open before me)
Pasipo nguvu zangu (Without my own strength)
Nipe Neema yako Bwana (Grant me Your grace, Lord)
Fursa zinifuate kila mahali (Let opportunities follow me everywhere)
Wakiinuka kunizuia (When they rise to block me)
Nisimame kwa ushindi (Let me stand in victory)

Wapo walioketi chini kwa muda (There are those who waited for long)
Baadaye wakati wao ukafika (But their time came)
Uliwatoa mahali pa chini (You lifted them from low places)
Na kuwaweka mbele ya wakuu (And placed them before leaders)
Ah, alipopingwa na maneno ya watu (Ah, when they were opposed by people’s words)
Na njama zikapangwa gizani (And schemes were plotted in the dark)
Lakini neema yako ikasema (But Your grace declared)
Hakuna atakaye wazuia (No one will stop them)

(Refrain)

Neema yako initangulie Bwana (May Your grace go before me, Lord)
Kila mahali nimepanga kutafuta (Everywhere I plan to seek)
Neema yako izungumze kwa ajili yangu (Let Your grace speak on my behalf)
Hata kabla sijafika eh (Even before I arrive)
Na Bwana kama yule anayepanga kunizuia eh (And Lord, anyone planning to stop me)
Aone mkono wako juu yangu (Let them see Your hand upon me)
Na yeyote anayehusika kufungua milango, eh (And anyone responsible for opening doors)
Aone kibali chako kimewaka juu yangu, oh (Let them see Your favor shining upon me)

(Refrain)

Kama Ndoto (Like a Dream) Lyrics by Wapendwa Muziki

Leave a comment


(Sung in Kiswahili)

Refrain:
Ilianza kama ndoto (It started like a dream)
Katimiza maono (He fulfilled the vision)
Na kwa mkono wako (And by your hand)
Tuimbe tumepona (We sing that we are healed) (Repeat)

Toka January to December (From January to December)
Kweli Mungu wangu mimi nakupenda (Truly my God, I love you)
Toka January to December (From January to December)
Kweli Mungu wangu mimi nakupenda (Truly my God, I love you)
With my heart I surrender, fanya vile unapenda (Do as you please)
With my heart I surrender, fanya vile unapenda (Do as you please)

We Bwana, tawala na maisha yangu (Oh Lord, Rule over my life)
We Bwana, naomba usiondoke kwangu (Oh Lord, I ask you not to leave me)
We Bwana, we ndio mkombozi wangu (Oh Lord, You are my redeemer)

(Refrain)

Wale waliopanga wakasema tutafeli (Those who planned said we would fail)
Jamani eti sisi tutafeli (Oh really, that we would fail)
Ah, ndio wale (Ah, it’s those people)
Ah, bado wanangoja (Ah, they are still waiting) (Repeat)

(Refrain)

Bolingo na ngai eh, na ngai eh (My love, oh, my love)
Ye abungisa katee bilakanaye, bilakanaye (He never loses his promises, his promises)

(Refrain)

Wale wal’opanga wakasema tutafeli (Those who planned said we would fail)
Jamani eti sisi tutafeli (Oh really, that we would fail)
Ah, ndio wale (Ah, it’s those people)
Ah bado wanangoja (Ah, they are still waiting) (Repeat)

Tumepona, tumepona ya ya ya (We are healed, we are healed yeah yeah yeah)
Ah, ndio wale, Ah bado wanangoja (Ah, it’s those people, ah they are still waiting)
Tumepona, tumepona ya ya ya (We are healed, we are healed yeah yeah yeah)
Ah, ndio wale, Ah bado wanangoja (Ah, it’s those people, ah they are still waiting)

Prototol Breaker Lyrics by Guardian Angel

Leave a comment


(Sung in Kiswahili)

Refrain:
Wewe Prototol Breaker (To You Protocol Breaker)
Nimenyanyua mikono nikupe sifa (I have lifted my hands to give You praise)
Wewe Prototol Breaker (To You Protocol-Breaker)
Nakushukuru, nakushukuru (I give thanks, I thank You) (Repeat)

Kama ningefuata protocol ya dunia (If I had followed the world’s protocols)
Wangeniweka nafasi ya mwisho (They would have placed me in last place)
Ila nilifuata wewe Protocol Breaker (But I followed You protocol-breaker)
Umeniweka nafasi ya mwanzo (And You have placed me in first placed)
Nainua mikono ishara nimesurrender (I have lifted my hands in surrender)
Magoti napiga kwako, nanyenyekea (I have prostrated myself before You)
Umenirejesha kati nilipotea (You restored me when I was lost)
Nakushukuru, nakushukuru (I give You thanks)

(Refrain)

Wakinipanga hivi, hivi, hivi (They ordered me this way)
Unanipanga vile, vile, vile (You ordered me that way)
Wakiniwazia hivi, hivi, hivi (They planned for me one way)
Unaniwazia vingine (But You planned for me other ways)
Nikiwa nawe, sihitaji mwingine (With You, I need no one else)
Tangu nikupate, siko vile vile (Since I found You, I am no longer the same)
Umenivusha daraja zingine (You have crossed me through many bridges)
Ambazo mimi singevuka kamwe (That I would never have crossed by myself)

(Refrain)

Bwana Nieleze (Lord Explain to Me) Cover (Original Lyrics by Amos Kombe)

Leave a comment


(Sung in Kiswahili)

Refrain:
Hebu nieleze, kwa sauti ya upole (Please explain me with a gentle voice)
Akili zangu zikuelewe (For my brain to understand)
Rudia, rudia, kama vile kwa mtoto (Repeat again, like you would to a child)
Nisisahau, neno lako (So that I may not forget Your Word) (Repeat)

Bwana nieleze, kile kilichokufanya (Lord explain to me the reason)
Ukaja hapa wakati ule (That brought You here long ago)
Yote ya mbinguni, hukuyaona kitu (The glories of heaven were nothing)
Ukaja ishi na viumbe vyako (You chose to come to live with Your creation)

(Refrain)

Walipokusulubisha, pale msalabani (When they crucified You on that cross)
Hakuna aliyekusaidia (No one helped You)
Ukafa kifo cha uchungu na aibu (You died in pain and shame)
Kwa dhambi iliokuwa yangu (For the sins that were mine)

(Refrain)

Zidi kunionesha ubaya wa dhambi (Continue to show me the futility of sin)
Najua ndio iliyokuuwa (I know that is what led You to the cross)
Na nigeukapo na kutenda dhambi (And when I turn to sin)
Hebu nirudi kwa fimbo yako (Let me be corrected by your rod)

(Refrain)

Original Composition (Youtube)

Amini (Believe) Lyrics by Alice Kimanzi Ft. Victor Maestro

Leave a comment


(Sung in Kiswahili and some Lingala)

Repeat: Ana mipango mema, anakupenda (He has good plans, He loves You)
Mteule, nina ujumbe kutoka kwa Mwenyezi Mungu (Chosen one, I have a message from Almighty God)
Mipango ya fanaka, ya kukupa tumaini, eh (Plans for your success, to give you hope)
Kaba haujazaliwa, alikujua (Before you were born, He knew you)
Usifadhaike, wewe, ni mboni la jicho lake (Do not despair, you are )
Ye si binadamu, adanganye (He is not man that He should lie)
Aliyeanza kazi nzuri, atamaliza (The one who began good work, will complete it)

Call-and-Response: Atakuinua kwa mkono wake wa ushindi, eh (He will lift You up with His victorious hand)

Refrain:
Amini, Amini! (Believe, Believe!)
Amini, Amini!! (Believe, Believe!)
Uaminifu wake, wadumu milele (His faithfulness, endures forever)
Amini (Believe!) (Repeat)

Neno la Bwana ni kweli, na linasema hivi (The word of the Lord is true, and declares this)
Hata mashaka yawe pande zote, hukatii tamaa (Even if troubles are all on all sides, you don’t give up)
Neno la Bwana ni kweli na linasema hivi  (The word of the Lord is true, and declares this)
Hata utupwe chini, huangamizwi (Even if you are struk down, you will not be decimated)

Wanaomtegemea Mungu, ni kama mlima Sayuni (Those who depend upon the Lord are like Mt. Zion)
Hawatikisiki (They will not be shaken)
Waomsubiri Bwana, ni kama mlima Sayuni (Those who wait upon the Lord are like Mt. Zion)
Hawatikisiki (They cannot be shaken)

(Refrain)

Wanaomtegemea Bwana, ni kama mlima Sayuni (Those who depend on the Lord are like Mount Zion)
Hawatikisika kamwe, milele na milele (They will never me shaken)
Milele, na milele iye (Forever and ever)
Hawatikisika kamwe (They will never be shaken)

Wamtumainio Bwana, ni kama mlima Sayuni (Those who trust in the Lord are like Mount Zion)
Hawatikisika kamwe, milele na milele (They will never me shaken)
Milele, na milele iye (Forever and ever)
Hawatikisika kamwe (They will never be shaken)

Esengo to esengo te, Esongo! (Are we rejoicing or not, We rejoice!)  (Repeat)
Toko bine laye nanko, Nanko! (We must dance before God, we must!) (Repeat)

Repeat: Amini, utaona mkono ya Bwana (Believe, You will see the hand of God)
Ndugu usilie, panguza machozi, Yesu anajua kilio chako (Brother do not weep, Jesus knows your cries)
Yesu/Bwana anajua kulia kwako, futa machozi, we mwamini we (Jesus/Lord knows your cries, wipe your tears and belive Him)
Baba Yangu/Mama Yangu futa machozi, (My father/mother wipe your tears)
Ndugu yangu simama, Bwana anakuwazia mema (My brother stand, The Lord plans good things for You)
Inuka eh uangaze, mwamini Bwana anona machozi yako (Arise and shine, Believe The Lord sees your tears)
Amini! (Believe!)
Anakuwazia mema, Yesu x? (He things good)
Usikate tamaa, we amini (Do not give up, believe)
Mwamini Yesu (Believe Jesus) x?

Esengo to esengo te? Esengo! (Are we rejoicing or not? We rejoice!)  (Repeat)
Toko bine laye nanko, Nanko! (We must dance before God, we must!) (Repeat)

Yeye, Yesu ni Bendera (ya ushindi)  (He is the flag (of victory)) x?

Esengo to esengo te? Esengo! (Are we rejoicing or not? We rejoice!)  (Repeat)
Toko bine laye nanko, Nanko! (We must dance before God, we must!) (Repeat)

Older Entries Newer Entries