(Sung in Swahili)

Mimi nasonga tu mbele (I am moving onwards)
Mashida sijali na wewe (I do not worry about difficulties)
Kama ndege iko tu sawa (As the bird of air is taken care of)
Basi pia Mungu ako na wewe (The Lord is also with You)
Mungu amekusikia (God has heard You)
Imani zidi kushikilia (So Keep the faith)
And when (?) you believing Him fear
Mulungu yuko na yuko hiyo (God is there and so)

Refrain:
Mulungu (Ha! ah! ha!) (the Name of God) x?

Mi nataka kukufanana (I want to be like You)
Kwako kila kitu salama (For in You all is well)
Kwako kila kitu (In You all things) x2
Iko maana mi ni na kazi na (Is there so I have work and)
Bado mi nitakusifu (I will keep praising You)
Juu we pekee ni mwaminifu (For You alone are faithful)
Juu we pekee ulinisafisha dhambi zote (For You alone cleansed me of my sin)
Mimi nitakusifu (So I will praise You)

(Refrain)

Mungu ni faya, Mungu ni moto! (God is fire/hot)
Mi sina haya, kusifu hata kaa mi ni msoto (I am not afraid to praise even when broke)
Mungu upendo, na habadiliki (God is Love, and He does not change)
Kwa kila mienendo anajali naye anabariki (He cares for every situation and He blesses it)
(Repeat)

(Refrain)