(Sung in Swahili)

Chorus:
Nibebe nibebe nibebe nibebe Carry me, carry me, carry me, carry me
Nibembeleze nibebe Comfort me, carry me
Nichukue unibebe Take me, carry me
Mikononi mwako niwe salama In your arms so I will be safe

Verse 1:
E mungu angalia kunena kwangu, O God hear the words of my mouth
Na usikie sauti ya kilio changu And listen to the sound of my cry
Moyo wangu umechoka sana baba, My heart is very weary father
Kwa ajili ya wingi wa mateso yangu Because of the multitude of my troubles
Nafsi yangu imegandamana na mavumbi My soul is mixed with dust
Niokoe mikononi mwa midomo ya mbwa | Save me from the mouths of dogs
Kwanini ninateswa sana kwa ajili yako babaga Why am I being persecuted because of you O my father?
Niokoe mikononi mwa watu wabaya Save me from the hands of evil people
fanya hima unisaidie nibebe Hurry up and save me and carry me

(Chorus)

Nimechoka peke yangu safari ngumu no ndefu nibebe
(I am tired and the journey is hard and long I can’t by myself carry me)

(Chorus)

Verse 2:
Macho yangu yamedhoofukwa machozi | My eyes have been blinded by my tears
Kwani mateso yangu hayapimiki kwa mizani | Because my troubles cannot be measured on a scale
Kwa kuwa aliyenitukana siye adui yangu | Because the one who defied me was not my enemy
bali ni rafiki yangu tuliyejuana naye sana | But my friend who I knew very well
Tulikula pamoja, tulisali pamoja, kanisani pamoja | We ate together, we prayed together, we churched together
Bwana asifiwe kwa sana | We Praises the Lord very much
Kumbe mwenzangu alikusudia kuniangamiza | But my friend wanted to finish me off

(Chorus)

Kweli nimeamini adui wa kwanza ni yule wa nyumbani mwako (Its true I have believed that the biggest enemy is the one closest to you)

(Chorus)

verse 3:
Wengine wakinibeba nitaambulia matatizo, yesu nibebe If anyone else carries me I will be in trouble, Jesus carry me
Dunia ikinibeba itanipeleka jehanamu, yesu nibebe If the world carries me it will take me to hell, Jesus carry me
Marafiki wakinibeba watanipeleka pabaya, yesu nibebe (If my friends carry me, they’ll get me into trouble, Jesus carry me
Baba nibebe, yesu nibebe, (Father carry me, Jesus carry me)
Nibembeleze nibebe, nichukue mbiguni salama (Comfort me, carry me, take me to heaven safely)

(Chorus)

Nimechoka pekee yangu safari ngumu siwezi (I am tired the path is hard and I cannot make it on my own)

(Chorus)

(verse 4)
Nifike mbinguni nimwone Eliya (Amen) (So that I reach heaven and see Elijah)
Nifike mbinguni nimwone Yakobo (Amen) (So that I reach heaven and see Jacob)
pamoja na kiti cha enzi mbinguni kwa baba (Together with the Father’s throne in heaven)
Njia za dhahabu nami nakatembelee (So that I walk on the streets of gold)
O baba nibebe, yesu nibebe, (Oh father carry me, Jesus carry me)
Nibembeleze nibebe, nichukue mbiguni salama (Comfort me, carry me, take me to heaven safely)

(Chorus)

Nakwita Yesu unibebe mwokozi (I call you Jesus my saviour, carry me)

(Chorus)

Verse 5:
Nifike mbinguni nikamwone baba (Amen) (So that I reach heaven and see my Father)
Nifike mbinguni nakapumzike (Amen) (So that I reach heaven my rest)
Katika kiti cha enzi nami nikasujudie (At your throne, so that I would worship you)
Niwaone wenzangu wale walionitangulia (So that I see my friends who preceeded me)
Nikale matunda ya mti wa uzima (So that I eat the fruits of the tree of life)
Yesu nibebe, baba nibebe, (Jesus carry me, Father carry me)
Nibembeleze nibebe nichukue mbiguni salama (Comfort me, carry me, take me to heaven safely)

(Chorus)

Fade

Advertisement