(Sung in Swahili)

Verse 1:
Majeshi Yalinizingira, adui walinitisha (Armies surrounded me, enemies frightened me)
Lakini ikakupendeza, Kunipigania (But you saw it fit, to fight for me)
(Repeat)

Chorus:
Umenifuta machozi, Umeondoa kilio (You have wiped my tears, you have removed my cry)
Umenipa Ushindi, Ahsante Mungu Wangu You have given me victory, thank you my God)
(Repeat)

Verse 2:
Sijivunii ushindi, najivunia msalaba (I dont boast of my success, I boast of the cross)
Ya kwamba kwake Yesu, naweza Kuyatenda Yote (That in Jesus, I can do all things)
(repeat)

(Chorus)

Verse 3:
Sio kwa nguvu zangu, sio kwa uwezo wangu (Its not by my strength, not by my might)
Wala sio kwa majeshi,Ni kwa Roho wako (Its not for the armies, but your spirit)
(repeat)

(Chorus)

Advertisements