(Sung in Swahili)

Chorus:
Upendo wa Mungu Baba, Ni upendo wa ajabu (The love of Father God, is an amazing)
Upendo wa Mungu Baba, Ni upendo wa ajabu (The love of Father God, is an amazing)
Kumtoa Mwana wake, kufa kwa ajili yetu (To give us his son, to die for our sake)
Kumtoa Mwana wake, kufa kwa ajili yetu (To give us his son, to die for our sake)
(Repeat)

Pale msalabani, Yesu alishinda (There at the cross, Jesus was triumphant)
Akasema imekwisha, dunia kukombolewa (He said it is finished, the world was saved)
Akasema imekwisha, dunia kukombolewa (He said it is finished, the world was saved)

(Chorus)

Alidharauliwa, na kukataliwa (He was despised and rejected)
Yesu mwana wa Mungu, alinyenyekea (Jesus son of God, was humble)
Alinyenyekea, hata mauti (He was obedient, even unto death)
Alinyenyekea, hata mauti (He was obedient, even unto death)

(Chorus)

Kamwendea shetani, hadi mpaka kuzimu (He went to Satan, even into hell)
Akamnyanganya funguo, funguo za mamlaka (And robbed him of keys of authority)
Akamnyanganya funguo, funguo za mamlaka (And robbed him of keys of authority)

(Chorus)

Ni upendo wa ajabu, usio na mfano (It is an amazing love, with no equal)
Ni wa kushangaza, haulinganishwi (It is awe inspiring, it cannot be compared)
Upendo wake Mungu, aliyotupenda (The love of God, that he bestowed on us)

(Chorus)

Agape, Agape, Agape, Agape
Agape, Agape, Agape, Agape
Agape, Agape, Agape, Agape
Agape, Agape, Agape, Agape…