(Sung in Swahili)
Refrain:
Nimekukimbilia Bwana, nisije nikaaibika (I run to you Lord, that I may not be shamed)
Nisije nikaaibika, nisije nikaaibika (That I may not be shamed)
Nimekukimbilia Bwana, nisije nikaaibika (I run to you Lord, that I may not be shamed)
Nisije nikaaibika, maishani mwangu (That I may not be shamed, in my life)

(Refrain)

Wewe tu ndiwe, usiyebadilika (You are the only one that never changes)
Na wanaokutumani hawataaibika (Those who rely on you will not be shamed)
Yesu fadhili zako zadumu hata milele (Your goodness endures forever)
Uaminifu wako wafikia vizazi na vizazi (Your faithfulness endures for generations)

(Refrain)

Yule mwanamke aliyetokwa na damu  (The woman with a bleeding disease)
Miaka kumi na miwili alikukimbilia (After 12 years, she ran to you)
Baada ya kuguza pinde la vazi lako (After touching the hem of your garment)
Hali yake haikubaki kuwa vile (Her condition was never the same)

(Refrain)

Batimayo kipofu pia alikukimbilia (Blind Bartimaeus also ran to you )
Yesu Mwana wa Daudi naomba unirehemu (“Jesus son of David, have mercy on me!”)
Ulifungua macho umejawa na rehema (You opened his eyes, you are full of mercy)
Nimekukimbilia nisije mimi nikaaibika (I run to you that I may not be shamed)

Bridge:
Ee Baba nimekuja kwako  (Oh Father I come to you) (x4)

(Refrain)

Advertisement