(Sung in Swahili)

Refrain:
Nimekubali, nasema ndio (I accept, I say yes)
Kwako ni salama, nasema ndio (It is safe in you, I say yes)
Nimekubali, nasema ndio Bwana (I accept, I say yes Lord)
Najitoa dhabihu iliyo hai Bwana nitumie(I give myself as a living sacrifice, Lord use me)

Bwana watafuta watakao kuabudu kwa roho na kweli
(Lord you look for those who worship in spirit and truth)
Na wakati ndio huu naamini umefika Baba (And I believe that the time is now father)
Nisaidie kutenda kulingana na mapenzi yako yahweh (Help me to do your will)
Kutembea na maagizo yako moyoni mwangu (To walk with your instructions in my heart)

(Refrain)

Mimi ni chombo mikononi mwako Yahweh (I am a vessel in your hands Yahweh)
Tena ni udongo na wewe mfinyanzi Baba (And clay, while you are the potter)
Nifinyange, nitengeneze (Mold me and make me)
Uishe nafsi yangu, chochote mimi nitatenda (Use my life, I follow your will)

(Refrain)

Niumbie moyo safi, ili niweze kukutukuza (Create in me a clean heart to worship you )
Bwana nitenge kwa ajili ya jina lako Baba (Set me aside for the sake of your name)
Wala usinitenganishe na uwepo wako (Do not separate me from your presence)
Mimi Bwana, nimekubali njia zako Baba (Father I accept your ways)

(Refrain)

Advertisement