(Sung in Swahili)

Huu, ni mwaka wa urejesho (This is the year of restoration) x2
Mambo, mambo yabadilika (Things are being made new) x2
(Repeat)

Chorus:
Naona mambo yakibadilika (I see things transforming)
(Yabidilika kwa wema wako) (They transform because of your goodnes)
(Repeat)

Mambo, mambo yabadilika  (Things are changing) x2
Walio chini sasa, naona wakiinuliwa (I see the downtrodden lifted up)
Walio nyuma sasa, naona wakiwa mbele (I see the last becoming first)
Wanaodharauliwa, naona heshima zao (I see honor for the despised)
Wanaolia sasa, machozi yanapanguzwa (The tears wiped for the grieving)

Huu ni mwaka wa urejesho (This is the year of restoration) x2
Uliyepoteza ndoa, naona ikirejeshwa (Your marriage was broken, I see restoration)
Uliyepoteza watoto, naona wakirejeshwa (You lost your children, I see their return)
Uliyepoteza nyumba, naona ikirejeshwa (You lost your house, I see it’s restoration)
Uliyepoteza kazi, naona ikirejeshwa (You lost your job, I see it returned)
Uliyepoteza cheo, naona kikirejeshwa (You lost your position, I see it restored)
Uliyepoteza heshima, naona ikirejea (You lost your honor, I see it restored)
Kwani mambo yabadilika (Because things are being remade)

(Chorus)

Majina yaenda kubadilika (Names will be transformed) x2
Wanaoitwa tasa, naona wakiitwa mama (The one called barren, I see you called mother)
Wanaodharauliwa, naona heshima zao (The one despised, I see you honored)
Wanaoitwa duni, sasa wainuliwa (The one called nothing, I see you lifted)
Walio pekee yao, waenda pata wachumba (The one alone, I see you partnered)
Kwani mambo, mambo yabadilika  (As things are being made new) x2

Wanaolia sasa, machozi wanapanguza (The grieving are wiping their tears)
Waliokataliwa, sasa wakubalika (The rejected are being accepted)
Wasio na makao, wapata makao yao (The homeless are getting homes)
Wasio na amani, wapata amani yao (Those without peace are getting it back)
Wasio na furaha, wapata furaha yao (The joyless are getting their joy back)
Kwani mambo, mambo yabadilika (Because things are being made new) x2

(Chorus)

Jipe jina, tutakuita unapojiita sasa  (Name yourself and we shall call you that)
Pokea jina jipya, maana majina yabadilika (Receive a new name, as you are being made new.)

Refrain: Naitwa mbarikiwa (Call me blessed)
Tukuite nani nani leo (What shall we call you today?)
Jipe jina, jipe jine (Name yourself)
Na wewe waitwa nani leo (And you, what are you called?)
Baba yangu tukuite nani (My father/Brother, what shall we call you?)
Jipe jina, jipe jine (Name yourself)

(Chorus)

Advertisement