(Sung in Swahili)

Hakuna Mungu kama wewe Yahweh (Aah, aah) (There’s no God like you, Yahweh)

(Unaweza) Unaweza, yeh yeh yeh (Capable God)
Hakuna Mungu kama wewe Bwana, ah (There is no one like You Lord)
Unaweza, yeh yeh yeh (Capable God)
Hakuna Mungu kama wewe Bwana ah (There is no one like You Lord)

Hakuna Mungu kama wewe Yahweh (Aah, aah) (There’s no God like You, Yahweh)
Hakuna Mungu kama wewe Lesa (Aah, aah) (There’s no God like You, Lesa)
(Wa Neema) Wa neema, yeh yeh yeh (God of Grace)

Hakuna Mungu kama wewe Bwana ah (There is none like You Lord)

Hakuna Mungu kama wewe Kyala (Aah, aah) (There’s no God like You, Kyala)
Hakuna Mungu kama wewe Nguluvi (Aah, aah) (There’s no God like You, Nguluvi)
(Wa baraka) Wa baraka, yeh yeh yeh (God of Blessings)
Hakuna Mungu kama wewe Bwana ah (There is none like You Lord)
(Wa baraka) Wa baraka, yeh yeh yeh (God of Blessings)
Hakuna Mungu kama wewe Bwana ah (There is no one like You Lord)

Hakuna Mungu kama wewe Katondo (Aah, aah) (There’s no God like You, Katondo)
Hakuna Mungu kama wewe Yahweh (Aah, aah) (There’s no God like You, Yahweh)
Unaweza, yeh yeh yeh (Capable God)
Hakuna Mungu kama wewe Bwana ah (There is no one like You Lord)
(Wa Neema) Wa neema, yeh yeh yeh (God of Grace)
Hakuna Mungu kama wewe Bwana ah (There is no one like You Lord)
(Wa Upendo) Wa upendo, yeh yeh yeh (God of Love)
Hakuna Mungu kama wewe Bwana ah (There is none like You Lord)

Sifa, sifa, sifa kwa Yesu (Praise to Jesus) Amen

Bariki (Bless) (Amen)

Kama unapenda Yesu sema “Amen” (If you Love Jesus say “Amen”)
Kama unapenda Yesu sema “Hallelujah!” (If you Love Jesus shout “Hallelujah!”)

Hakuna Mungu kama wewe Lesa (Aah, aah) (There’s no God like You, Lesa)
Hakuna Mungu kama wewe Yahweh (Aah, aah) (There’s no God like You, Yahweh)
(Wa rehema) Wa rehema, yeh yeh yeh (Merciful God)
Hakuna Mungu kama wewe Bwana ah (There is no one like You Lord)
(Wa huruma) Wa huruma, yeh yeh yeh (Compassionate God)
Hakuna Mungu kama wewe Bwana ah (There is no one like You Lord)

Hakuna Mungu kama wewe Mulungu (Aah, aah) (There’s no God like You, Mulungu)
Hakuna Mungu kama wewe Yahweh (Aah, aah) (There’s no God like You, Yahweh)
(Wa uweza) Wa uweza, yeh yeh yeh (Capable God)
Hakuna Mungu kama wewe Bwana ah (There is no one like You Lord)
(Wa talanta) Wa talanta, yeh yeh yeh (Talented God)
Hakuna Mungu kama wewe Bwana ah (There is no one like You Lord)

Discover more from African Gospel Lyrics

Subscribe to get the latest posts sent to your email.