Hakuna (There is No Other) Lyrics by Adawnage Band

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Tunakupa sifa zote, Bwana wa Mabwana (We give You all the praise, Lord of Lords)
Uketiye kwenye Enzi, Mfalme wa wafalme (You who sit on Power, King of kings)
Makerubi, Maserafi, Wote wakutazamia (The Cherubim, the Seraphim, all look to You)
Ulimwengu umejawa, utukufu wako Bwana (The world is full of your Glory, Lord)

Refrain:
Hakuna, Mungu kama wewe (There is no other, God like You)
Hakuna, kamwe kama wewe (There is never other like You)
Hakuna, wa kulinganishwa nawe (There is none that can be compared to You)
Hakuna, Mungu kama wewe (There is no other, God like You)
Hakuna, hakuna, kamwe kama wewe (There is no other, never other like You)

(From the Top)

Nani aokoa? Ni wewe (Who saves? It is You)
Nani anaponya? Ni wewe (Who heals? It is You))
Nani abariki, ni wewe (Who blesses? It is You))
Mungu kama wewe (God like You)

Nani anaweza? Ni wewe (Who is able? It is You))
Nani mkombozi? Ni wewe (Who is the Savior, It is You))
Nani anaweza? Ni wewe (Who is able? It is You))
Mungu kama wewe (God like You)

Mtetezi wangu? Ni wewe (By Defender, It is You))
Bwana wa mabwana? Ni wewe (Lord of Lords, It is You))
Bwana wa majeshi? Ni wewe (Lord of Hosts, It is You))
Mungu kama wewe (God like You)

(Refrain)

Hakuna Mungu Kama Wewe (No Other God Like You) Lyrics by Kijito Choir

2 Comments


(Sung in Swahili)

Hakuna Mungu kama wewe (There’s no God like you)
Yahweh/Lesa/Kyala/Nguluvi/Katondo (Yahweh)
Unaweza/Wa neema/Wa baraka/Wa upendo yeh
(You are able/Full of Grace/Blessings/Love)
Hakuna Mungu kama wewe Bwana ah (There is no one like you Lord)
(Repeat)

Sifa, sifa, sifa kwa Yesu (Praise to Jesus) Amen

Bariki (Bless) (Amen)

Kama unapenda Yesu sema Halelujah/Oh Messiah (If you Love Jesus say Halellujah)

Hakuna Mungu kama wewe (There’s no other God like you)
Yahweh/Lesa/Mulungu/Nguluvi/Katondo (Yahweh)
Unaweza/Wa rehema/Wa huruma/Wa uweza/wa faraja yeh
(You are able/merciful/compassionate/able/comforting)
Hakuna Mungu kama wewe Bwana ah (There’s no other God like you Lord)

Hakuna Mungu (No Other God) Lyrics by L’or Mbongo

5 Comments


(Sung in Swahili, Lingala and (?))

Hakuna Mungu kama wewe x4 (In Swahili)
(There’s no God like you)
(Repeat)

Mokote Yahwe hakokani nayo x4 (In Lingala)
(There’s no God like you)
(Repeat)

Mosive mfumu me fwanana na nge x4 (In (Kikongo))
(There’s no God like you)
(Repeat)

(Repeat from top)

%d bloggers like this: