(Sung in Swahili)

Refrain:
Asusu, Asusu, Mungu yupo Asusu (Asusu God is there)
Asusu, Asusu, usilie, Asusu (So Asusu don’t cry)
Asusu we, Asusu we

Siku njema asubuhi na mapema (A beautiful day began early morning)
Tayari kwenda kazi Asusu msela(Asusu was ready for work)
Ambia jamii kama kawa baadaye(As usual saying goodbye to family)
Hakujua ndiyo mwisho kuwaona hai(He didn’t He’ll never see them alive again)
Siku ya kisa elfu mbili na tisa(The day of trouble in 2009)
Chart 28 mwendo wa saa tisa(On the 28th around 3pm)
Alipokea simu harakisha,(He received a phone call to hurry)
Bibi na binti kwa hali ya kutatanisha(His wife and child were in critical condition)
Ndivyo jamii iliteketea(His whole family was burnt)
Nakumatt Downtown hawakuokolewa(In a mall downtown they weren’t saved)
Kweli Mungu ulimkosea(God, did you forget him?)
Mbona kukubali haya kumtokea?(Why not have mercy on him?)

(Refrain)
Lyrics from africangospellyrics.wordpress.com
Ilistahili kufanya upasuaji (He also needed an operation)
Shida ya pili hakuwa na ganji (The second problem? No money)
Church ilikubali kumfanyia harambee (His church set out to help)
Tarehe 13 siku ya Sunday (On 13th – a Sunday)
Ghafla tu katikati ya ibada (Suddenly in the midst of worship)
Majambazi, kawa watu 17 (17 robbers stormed in)
Kawavamia, wakawaibia (Attacked and robbed them)
Mchango ya Asusu ikafagiliwa (Asusu fundraised money was all taken)
Harambee ikapotea na upepo (The fundraiser disappeared like the wind)
Manze hata kama ni mapepo (Even if the work of the devil)
Aisee unapitia mateso Asusu (You’ve been through hell Asusu)

(Refrain)

Bridge:
Kilio kinadumu usiku (Weeping will only last for the night)
Asubuhi ni Furaha (It’s joy in the morning)
Jipe moyo Asusu (Be encouraged Asusu)

Advertisement