(Sung in Swahili)

Chorus
Vipi nitakula na nguruwe (How can I eat with the pigs)
Ilhali Baba yangu ni tajiri wa matajiri? (While my Father is the richest of the rich?)
Nitarudi nikakiri dhambi zangu (I will return and admit my sins)
Nimwambie anisamehe anifanye mwana wake (And ask to be restored as His child)
Nisamehe, nisamehe (Forgive me, forgive me) x2

Refrain: Najua nimekukosea Baba (I know I have wronged you Father)
Baba, Baba yangu najua nimekukosea Baba (Father, my Father I have wronged you)x2
Hatuelewani (We are not on the same page)
Ukanipa mali (You gave me my portion)
Kenda nchi ya mbali (I travelled to a far country)
Nikatapanya (I spent it all)
Kwa washerati, najua, najua, najua (In wild living)
Nisamehe, nisamehe (Forgive me)

(Chorus)

Aibu na kusononeka (Shame and loneliness)
Zachanganya moyo na akili zangu (Overwhelm my heart and my thoughts)(Repeat)
Nitamwanza vipi, na mali nimeitapanya (Where will I start? I have nothing )
Nao mwili wangu, matambara shida kanivalisha (My clothes are rags)
Kwa mguu wangu, kokoto kachukua usukani (My feet are filled with stones)
Sijui kabisa, yote haya nitaelezaje (I do not know how to explain myself)
Lakini nimeamua, narudi, narudi (But I have resolved to return)
Nimeamua, narudi nikajitetee (I have resolved to return, and defend myself)

(Chorus)

Advertisement