(Sung in Swahili)

Jina lake Immanueli; Mungu yuko pamoja nami (His name Emmanuel; God with me)
Nikimwamini atanilinda (If I believe in Him, he will protect me)
Jina lake Jehovah Jireh; (His name Jehovah Jireh [God my Provider];)
Atosheleza mahitaji yangu (He satisfies my needs)
Nikimwamini n’tabakikiwa (If I believe in Him, I shall be blessed)
Jina lake Mlinzi Mwema; (His name the great defender)
Atanilinda siku zote (He will protect me always)
Nikimwamini, nipo salama (If I believe in Him, I shall be safe)

Refrain:
Yeye ni Bwana, mponyaji wako (He is the Lord your Healer)
Ukimwamini atakuponya (Believe in Him, He shall heal you)
Mshauri wa ajabu, jina lake Immanueli (Wonderful Counselor, His name Emmanuel)
Mungu yupo pamoja nawe (God is with you)

Jina lake Jehovah Nissi; Bendera ya wokovu wangu
(His name Jehovah nissi, the banner of my salvation)
Nkimwamini n’taokolewa (If I believe in Him, I shall be saved)
Anaitwa Jehova Shammah, Jehovah Nissi, Jehovah Rafa Mungu wangu
(He is called Jehova Shammah, Jehovah Nissi, Jehovah Rapha; my God)
Nikimwamini n’tabarikiwa (If I believe in Him, I shall be blessed)
Yeye akiwa upande wangu, Yeyote yule asimamaye
(With Him by my side, whoever stands)
Kinyume changu, ataangamia (Against me, shall not prevail)

Mungu Yupo pamoja nawe (God is with you)
Ukimwamini utabarikiwa (If you believe, you shall be blessed)
Ukimwamini utainuliwa (If you believe, you shall be lifted)
Mungu Yupo pamoja nawe (God is with you)x2

Advertisement