(Sung in Swahili)

Chorus:
Zaidi ya yote (Above it all)
Utabaki kuwa Mungu mkuu (You’ll remain Almighty God)
Alfa na Omega (Alpha and Omega)
Hubadiliki kamwe (You the One that never changes)

Nikitazama nyuma na mbele (Before me and behind me)
Naona ukuu wako (I see your greatness)
Kaskazini, kusini pia (From the north and to the south)
naona ukuu wako (I see your greatness)
Magharibi nako mashariki pia (From the west, to the east)
Naona ukuu wako (I see your greatness)

(Chorus:)

Hakuna mkamilifu katika wanadamu (No one among me is more perfect/complete)
Zaidi ya ewe Mungu wangu (Than You, oh my God)
Kila goti lipigwe, kila ulimi ukiri (Let every knee bow, and every tongue to confess)
Kuwa wewe ni Mungu pekee (That You are God alone)

(Chorus:)

Umenipigania vita vikali (You fought great battles for me)
Ambavyo mimi singeweza pekee yangu (That I could not have fought alone)
Maadui waliniandama (My enemies followed me)
Lakini ukawatawanya kwa njia saba (But You scattered them seven ways)
Usifiwe, uabudiwe (Be praised, be worshiped)

Bridge:
Unabaki kuwa (Mungu tu) (You remain – the only God)

Advertisement