(Sung in Swahili/Sheng)

Sijui Ka n’taona kesho (I don’t know if I’ll see tomorrow)
Ka ningali na uwezo wa kuifanya (But if I have the ability to work)
N’taifanya hadi mwisho (I shall toil until the end)
Mwambieni huyo devo, simwogopi shetani (Tell the devil, I’m not afraid of Satan)
Sir God yuko nami hadi kifo (The Lord is with me until death)
Ka n’taona kesho (If I’ll see tomorrow)
Nipe nguvu na uwezo wa kijana (Give me the ability of youth)
na akili za mzee (And the wisdom of old age)
Daima ni we, (Forever it is you,)
imara wasiniangushe (solid – that I may not be felled)

Naona saa, (I see the time,)
Kila siku ni zawadi toka Maulana (Everyday is a gift from God)
So haja gani ushike tama mama (So why the sad face, ma?)
Majaribu huisha ooh yaa ee (Trials come to an end)
Na hata ka, (And even when…)
Maadui zangu watashikana nao njama (My enemies conspire against me)
siwaogopi nasimama ma (I am not afraid, I stand firm)
Ya kiama yao yaja eeh (Their judgement day is coming)

Hio ndio pace nasonga nayo (The pace I’m moving with)
Wanashangaa hakuna stress nakuanga nayo (They’re surprised to see me stress-free)
Naishi ka’ sina case mahakamani (I live as though I have neither cases against me)
Au deni za majirani (Nor my neighbors debts)
N’ko Fresh njee na ndani, oh yaa eee (I am fresh inside and out)

Refrain:
Naa mwogopa Mungu Pekee (I fear only God)
Wanadam’ ‘kija kuntafash (When men conspire against me)
Naomba Mungu N’tetee (Lord defend me)
Maneno yao yasiniumize (That their words would not wound me)
‘Nfanye sugu wewe (Make me strong)
Wakitry kun’tisha naomba (When they try to threaten me,)
Nisitetemeke (I pray that I may not be shaken)
I know you love me, know you love me
So I Don’t fear Nobody But You
I know you love me know you love me
Nisitetemeke (That I may not be shaken) (Repeat)

Siamini joh ju vile naishi life (I don’t believe it because the way I live)
Ni ngumu kuamini hii si ndoto (Is hard to believe that this is not a dream)
Sijui kesho vile itakaa (I don’t know about tomorrow)
kwa hivyo leo nitaifanya (So today I will work)
ka kidogo hua hairidhishi roho (As though a little does not satisfy me)
Yani sana, tena sana (That is…)
Hata wale wanan’chukia (Even those who hate me)
wananiheshimu bruh mi si kodogo (Respect me, I am not trivial)
Sibabaiki nikis’kia mkiongea (I do not worry when I hear you talk)
Nazidi kuwapa mi kisogo, (I continue giving you my back)
na kama saa sis’mami (And like time, I do not pause)
S’taki life iniwache mataani mtaani (I do not want life to overwhelm me)
Mwenyezi n’chungie familia yangu (Lord take care of my family)
Na pia Za wale wote sauti yangu wanais’kia (And of those who listen to my voice)
Tupe afya nzuri, na maisha matamu (Grant us good health, and enjoyable life)
Barabara zetu zinyooke (Our paths to be straightened)
Waone Mfalme ni wewe (That others will see you are the King)
Wa kupewa shangwe ni wewe (You are the One deserving of Praise)
Wa kupewa shagwe ni wewe (You are the One deserving of Praise)

(Refrain)

Bridge:
I pray we: me and my people we never die
Say we live forever and forever we multiply
And wherever we go…
Ni nini wanaweza nishow (There is nothing they can show me)
hata ka sina kitu (Even if I had nothing)
Uko na mimi kila siku (You are by my side every day)
Kila siku, Wewe Pekee (Every day, Only You)

(Refrain)