(Purchase the song | Buy the Album | Stream Free)

(Sung in Swahili)

Usifiwe Mungu muumba mbingu na nchi yote (Be praised God creator of heaven and all the earth)
Ameni, Amen
Jehova Adonai, Jehova Elshadai (Lord my God, God Almighty)
Ameni, Amen
Uko kila mahali Baba, dunia Yakutambua (Father you are omnipresent, the world knows You)
Ameni, Amen
Ukisema Yahweh, nani apingane nawe? (Yahweh when you speak, who can come against You?)
Ameni, Amen

Refrain:
Haleluya, Haleluya
Wewe ni Mungu, mfalme, Bwana wa mabwana (You are God, the King, Lord of Lords)
Haleluya, Haleluya
Wewe ni Mungu, Mfalme, Bwana wangu (You are God, and King, My Lord )

Tuko salama chini ya mbawa zake (We are safe underneath His Wings)
Ameni, Amen
Kanisa sote tu imara tumesimama palipo sawa (We are strong for we stand on stable ground)
Ameni, Amen
Tumepewa nguvu, mamlaka na uwezo (We have been granted strength, authority and power)
Ameni, Amen
Usifiwe wewe uliye juu sana (Be praised You who is Most High)
Ameni, Amen

(Refrain)

Hakuna silaha kinyume itakayofaulu (No weapon formed against us shall prosper)
Ameni, Amen
Aliye ndani yetu ni mkuu zaidi ya tunaye muona (Greater is He that is in us than He who is in the world)
Ameni, Amen
Tumepewa nguvu, mamlaka na uwezo (We have been granted strength, authority and power)
Ameni, Amen
Usifiwe wewe uliye shinda yote (Be praised You who defeated all)
Ameni, Amen

(Refrain)