(Sung in Swahili)

Mara mingi moyo unakataa (A lot of times my heart fails me)
Hata damu unashindwa kusukuma (It fails even to pump blood)
Nikiwaza mengi nimepitia (When thinking of what I have been through)
Ila imani ndio inanisukuma (It is only faith that pushes me on)

Bado nangoja (I am still waiting) x4

Napata kizunguzungu sana (I am always faint)
Ninapata kizunguzungu (I am faint)
Sometimes maisha inakuwa ngumu sana (Sometimes life is very hard)
Hata nimekosa nguvu (That I become faint)
Lakini nakumbukuka, ahadi zako (But then I remember your promises)
Tena nakumbuka matendo yako (I also remember your work)
Uko mwaminifu ukisema unatenda (You are faithful to do what You promised)
Wewe ni mwaminifu kwa ahadi zako (You are faithful to your promises)

Refrain:
Zile baraka zangu, Bwana (Lord, my blessings promised to me)
Zile baraka zangu (bado nangoja) (I am still waiting for my blessings)
Na Zile baraka zangu, Bwana (Lord, My blessings)
Zile baraka zangu (bado nangoja) (I am still waiting for my blessings)
Na zile ahadi zangu, Bwana (Those promises made to me, Lord)
Na zile ahadi zangu (bado nangoja) (I am still waiting for those promises)
Zile, zile (Those, those)

Shughulika na hali yangu (Look after my health)
Nimelala sakafuni (I have slept on the floor)
Kwenye baridi mateso mengi (There is a lot of suffering in the cold)
Shughulika na hali yangu najua mwokozi (Look after my heart, you know it My Savior)
Uje mapema wala huchelewi (Come quickly, You do not tarry)

Nimehustle haswa (I have hustled hard)
Nimetokwa jasho jasho nikitegea (I have sweated while waiting)
Tena kama Daudi, tena kama Esta (Just like David, and just like Esther)
Baba nakutegemea, Mungu nakutegemea (Father I depend on You, God I depend on You)

(Refrain)

Tegemeo la moyo wangu, ni wewe Yesu (Jesus, You are the one my heart depends on)
Tumaini la moyo wangu, ni wewe Kristu (Christ you are the hope of my heart)
Nakungojea (I wait for You) x4

(Refrain)

 

Advertisement