(Sung in Swahili)

Refrain:
Ombea adui yako aishi siku nyingi (Pray that your enemy has a long life)
Ili unapobarikiwa, ajionee kwa macho (That when You are blessed, they’ll see it)
Hamna haja kabisa, afe kabla hajaona (There is no need for them to die before they witness)
Baraka ambazo Mungu, ameweka mbele yako (The blessings that God has placed before you)
(Repeat)

Ameharibu pesa nyingi (They have used a lot of money)
Akipeleka kwa waganga (Taking it to the witch-doctors)
Ili nisifanikiwe (That I should not succeed)
Na bado ninaendelea (But I still continue)
Mahirizi akapewa (They were given charms)
Ayalete kwa duka yangu (To bring to my shop)
Badala ya kufunga duka (But instead of closing my business)
Wateja wanakua wengi (My customers multiplied)

(From the top)

Walisema hutapata kazi (They said you will not get a job)
Na sasa una kazi (But now you are employed)
Wakasema hutajenga (They say you will not build)
Nyumba na sasa una nyumba (A house, now you have a home)
Walisema hutaoa (They said you shall not marry)
Na sasa naona una watoto (I see now you have children)
Maadui mkae kimya (Be silent my enemies)
Yesu atupigania (For Jesus fights for us)

(Refrain)

Walisema hutapata kazi (They said you will not get a job)
Na sasa una kazi (I see you now employed)
Wakasema hutajenga (They said you will not build)
Naona sasa una kwako (I see now that you have a home)
Walisema hutapata mtoto (They said you will not get a child)
Na sasa umepakata (And now You have one)
Maadui mkae kimya (Enemies be silent)
Yesu atupigania (For Jesus fights for us)

(Refrain)

Vita zetu si Wakristo (Our battles, believers)
Sio vita vya mwili na damu (Is not of the flesh and blood)
Vita tunavyopigana (The battles we fight)
Wapendwa ni wa kiroho (Beloved, is of the Spirit)
Wakuseme wakusimange (Whether they gossip about you or mock you)
Endelea kuwaombea (Continue praying for them)
Alicho bariki Mungu (For what God blessed)
Hakuna wa kukilaani (There is no one to curse it)

(Refrain)