(Sung in Swahili)

Nitaimba Halleluya asubuhi (I will sing Hallelujah in the morning)
Nitaimba Halleluya mchana (I will sing Hallelujah in the afternoon)
Nitaimba Halleluya jioni (I will sing Hallelujah in the evening)
Halleluya na hata usiku (Hallelujah even at night) (Repeat)

Mhubiri anasema (The preacher says)
Kila jambo na wakati wake (Everything has its time)
Wa kupanda, na kuvuna (To plant and to harvest)
Wa kucheka na kulia (To laugh and to weep)
Halleluya nina wimbo (Hallelujah I have a song)
Wa kila wakati na kila majira (For every time and season)
Wimbo wa nyakati zote na majira yote (Song for all times and seasons)
Wimbo huo ni halleluya (That song is Hallelujah) (Repeat)

(Refrain)

Wakati wa kucheka, nitaimba (In times of laughter, I will sing)
Wakati wa kulia, nitaimba (In times of tears, I will sing)
Wakati wa furaha, nitaimba (In times of joy, I will sing)
Wakati wa huzuni, nao nitaimba (In times of sadness, I will sing)
Haleluya wimbo wa nyakati zote (Hallelujah song for all times)
Halleluya wimbo wa majira yote (Hallelujah song for all seasons)
Halleluya wimbo wa sifa shukrani (Hallelujah song of praise and thanksgiving)
Iko siri katika Haleluya (There is a secret in Hallelujah) (Repeat)