(Sung in Swahili)

Sishangai ulimwengu kupa sifa Jehova
(I am not surprised of the world giving You praise, Lord)
Muumba wa vyote kwetu una manufaa zaidi, Baba
(Creator of all, You are valuable)

Refrain:
Unawaponya wagonjwa na wenye vifafa (You heal the sick, with seizure)
Vipofu na vilema (The blind and the lame)
Hata niwe na shida zenye utatata (Though I have tough problems)
Miujiza unatenda (You perform miracles)
Wacha nikuiite Yahweh (Let me call You Yahweh)
Mfalme wa wafalme (The King of kings)
Hakuna kama wewe, uhimidiwe Bwana (There is none like You, Father be praised)
O moyo/Yahweh (Ninataka nifanane nawe)
(Oh my heart/Yahweh, I want to be like You)
Wema wako (Ninataka nifanane nawe)
(Because of Your goodness, I want to be like You)
O Yahweh (Ninataka nifanane nawe)
(Oh Yahweh, I want to be like You)

Wengine wanashindwa vumilia kwako
(Others are unable to be patient in You)
Wanaenda kuchawiya kipato
(They go to witchdoctors for fortune making)
Hawajui fahari ni wewe, utajiri wako wa milele (They do not know that the pride is You, Your wealth is forever)
Mbinguni na duniani, oh Baba (In heaven and on heart, oh Father)

(Refrain)

I want to be just like You (Ninataka nifanane nawe)