(Sung in Swahili)

Refrain:
I’m happy, happy
Ya kwamba nimeokoka leo (That today I am saved)
I’m happy, happy
Ya kwamba nimempata Yesu (That I have found Jesus) (Repeat)

How I love You Lord
Ulinipenda kwanza kabla nikupenda (You loved me first Before I knew You)
How I love You Lord
Na shida zangu umeshazipiga teke (You have kicked away my troubles)
How I love You Lord
Nashindwa hata jambo la kusema (I do not have words to say)
How I love You Lord
Maisha yangu umekamilisha (You have completed my life)
Watu walinichanganyachanganya (People confused me)
Wakakoroga koroga (They mixed and stirred me)
Wakasema dunia inatosha (Said that the world was sufficient for me)
Wakachanganyachanganya wakakorogakoroga (They mixed and stirred me)
Wakasema wokovu haiwezi (Saying salvation will not be enough)

Nimependwa na Yesu oh (Oh, I am loved by Jesus)
Nimeonja utamu oh (I have tasted of His Gooodness) (Repeat)

(Refrain)

Ningekuwa wapi wapi (Where would I be)
Kama sio kwa upendo wako Yesu? (If not for Your Love, Jesus?)
Ningekuwa wapi wapi (Where would I be)
Na hapa nilipo ni kwa neema yako (Because where I am is by Your Grace)
And I say thank you
My Love for You will never never die
I say thank You
I’ll walk with You forever, till I die

Love You, that’s my desire x2
Umenituliza roho (You have calmed my spirit)
I wanna love You more
Umenituliza roho (You have given me peace)
I wanna love You more and more

Nimependwa na Yesu oh (Oh, I am loved by Jesus)
Nimeonja utamu oh (I have tasted of His Goodness)

(Refrain)

Nimependwa na Yesu oh (Oh, I am loved by Jesus)
Nimeonja utamu oh (I have tasted of His Goodness)