(Sung in Swahili)

Refrain:
Nakuhitaji wewe, bure bila wewe
(I need You, I’m nothing without You)
Miungu mingine ni kazi ya banadamu
(Other gods are works of men)
Mungu wa kweli, ni wewe
(You are the only true God) (Repeat)

We ulishinda kifo na mauti (You overcome death and the grave)
Tukapata msamaha wa dhambi (And We received forgiveness of sins)
Kwa kifo chako tulikombolewa (We are ransomed through Your death)
Mungu wa kweli, ni wewe (You are the only True God)

Damu yako yasafisha dhambi (Your blood washes away sins)
Ahadi yako we unatimiza (You fulfill all Your promises)
Ndani yako tunao uzima (In You we find eternal life)
Mungu wa kweli, ni wewe (You are the only True God)

(Refrain)

Nina mashaka ndani ya moyo wangu (I have doubts in my heart)
Shetani ananitikisa sana (Satan has shaken me)
Anataka mi nife moyo kwako (He wants me to lose confidence in You)
Lakini nakuamini Bwana (But Lord, I trust in You) (Repeat)

Ninaye mhitaji, ni wewe (I have You, the one I need)
Mkombozi wangu, ni wewe (You are my Savior)
Kimbilio langu, ni wewe (You are my Safe Refuge)
Ni wewe, Bwana (Only You Lord)

(Refrain)

Bridge:
Miungu mingine, ni kazi ya binadamu (Other gods are the works of men)
Mungu wa kweli ni wewe (You are the only True god) (Repeat)

Repeat: Bridge
Mungu wa kweli (The True God)
Uzima ni wewe (You are the Life)
Uhai wangu (You are my Life)

Miungu mingine, ni kazi ya binadamu (Other gods are the works of men)
Mungu wa kweli ni wewe (You are the only True god) (Repeat)