(Sung in Swahili)

Nimekuja hapa mbele zako Bwana, kukupea sifa
(I have come before You Lord, to give you praise)
Ninajua kwamba niko mwenye dhambi, naomba unisamehe
(I know that I am sinful, I pray that You forgive me)
Utukufu wako, hauna kifani
(Your Glory, cannot be measured)
Huruma na upendo wako, kwa walimwengu
(Your mercy and love towards us)
Hulinganishwi na chochote, Papa wetu
(Cannot be compared to anything, Our Father)
Unapea mvua wabaya na wazuri
(You grant rain to the evil and the good)
Na mwangaza wa jua, kwa wabaya na wazuri
(And the light of the sun, to the evil and the good)
Hubagui Baba (Father You do not segregate)

Refrain:
Baba, Baba, pokea sifa, uhimidiwe
(Father, Father, receive praise, be exalted)
Baba, Baba, pokea sifa, uabudiwe
(Father, Father, receive praise, be worshiped)

Watu wengi duniani wamekata tamaa
(A lot of people on earth have given up)
Wanadhani wakija kwako utawafukuza
(They think that You will chase them if they come before You)
Wanasema wewe ni Mungu wa walio wema tu
(They say that You are the God of only the good)
Wanasema wewe ni Mungu wa matajiri tu(They say that You are a God of the rich)
Wanasema wewe ni Mungu wa mataifa yen
ye nguvu
(They say that You are the God of mighty nations)

Bridge:
Kumbe wamekosa, mwenye kuwapa ukweli
(But they have lacked someone to give them the truth)
Kumbe hawajui, wewe ni mwenye huruma
(But they do not know, that You are full of mercy) (Repeat)

Niko hapa kukupa sifa zako Bwana (I am here to give You Your praises Lord)

(Refrain)

(Bridge)

(Refrain)

Advertisement