(Sung in Swahili)

Ni kama niko polepole, ila niko speedy (It looks like I’m slow, but I’m fast)
Aliye ndani yangu yuko speedy (The One who lives in me is fast)
Ni kama nimenyamaza, ila naongea (Though it looks like I’m quiet, I speak)
Yesu yu ndani yangu, yeye anaongea (Jesus is within me, He speaks on my behalf)
Ni kama niko polepole, ila niko speedy (Though appear slow, I am fast)
Aliye ndani yangu yuko speedy (The one within me is fast)
Kwa nje naonekana dhaifu, ndani nina nguvu (I look weak on the outside, but I’m strong)
Yesu yuko ndani yangu, yeye ni nguvu (Jesus is within me, He gives me strength)

Sibabaiki, sihangaiki (I am not afraid, I’m not troubled)
Siteteleki, na uhakika (I’m not shaken, I am assured)
Sibabaiki, siteteleki (I am not afraid, I am not shaken)
Sihangaiki na uhakika (I am not troubled I have assurance)
Yesu yu ndani yangu, nami ni ndani yake (Jesus is within me, and I am in Him)
Yesu yu ndani yangu, nami ni ndani yake (Jesus is within me, and I am in Him)
Yeye ni wa juu, yuko ndani yangu (He is of high, He is within me)
Mimi ni wa juu, juu sana (I am of high, very high)

Refrain:
Mimi wa viwango vya juu, vya juu (I am of higher levels)
Wa viwango vya juu, sana (Of very high levels)

Repeat: Refrain
Yesu yumo ndani yangu, nimembeba Yesu (Jesus is within me, I carry Jesus)
Hata kama mimi ni mfupi, mimi ni mrefu (Even if I am short, I am tall)
Hata kama mimi ni menene, mimi ni mwembaba (Even if I am fat, I am thin)
Mimi ni mweupe, na weusi wangu (I am light in my darkness)
Naringa na Yesu (I boast of Jesus)

Kwa nje naonekana kama natulia sana (From the outside I appear still)
Ila ndani yangu, napigana vita (But within me rages a war)
Kwa nje naonekana kama sisemi (From the outside I appear quiet)
Ila ndani yangu, mimi naongea sana (But within me I speak a lot)
Maana vita vyangu si ya damu na nyama (For my battle is not of flesh and blood)
Maana vita yangu, ni ulimwengu wa roho (For my battle is in the realm of the spirit)
Nisipojibu mwilini, najibu rohoni (If I do not answer in flesh, I answer in the spirit)
Nisipopingana kwa ngumi, napigana rohoni (If I do not fight with my hands, I fight with my spirit)
Mimi ni wa level/ngazi nyingine (I am of another level) x2

(Refrain)

Najivunia Yesu, Yesu jeuri yangu (I boast of Jesus, Jesus is my pride)
Yesu uzima wangu, Yesu mwokozi wangu (Jesus is my life, Jesus is my Savior)
Yesu mbabe wangu, Yesu mwalimu wangu (Jesus is my sponsor, Jesus is my teacher)
Mimi eh (Mine)

(Refrain)

Advertisement