(Sung in Swahili)

Refrain:
Uniongoze, bado nakuhitaji (Guide me, I still need You)
Uniongoze, Yesu kiongozi mwema (Guide me Jesus, the Wise Guide)
Moyo wangu unakuhitaji (My heart needs you)
Niongoze nivuke salama (Guide me to cross safely)
Mungu wangu, uniongoze (Guide me my God and lead me)
Ulisema naposhindwa, nikuite (You said to call you when I am defeated)
Hivi leo nakuita, nisikie (I call upon You today, hear me)
Usiende mbali nami (Do not go far from me)
Usiniache pekee yangu (Do not leave me alone)
Mungu wangu, uniongoze (Guide me, my God)

Dunia hii, ina mambo mengi sana baba (This work)
Sasa dhambi, imetawala dunia (Has dominated the world)
Walio okoka, wengine wanarudi nyuma (Some are backsliding)
Mi napenda nikupendeze Mungu, upendezwe nami! (I want to please You God, to be pleased by me!)
Niyashike maagizo yako, unifurahie! (To follow Your precepts, that You’d be pleased with me!)
Neno lako Yesu likae ndani yangu (Jesus, Your Word to abide in me)

(Refrain)

Kuna wengine, wachanganya Mungu na dunia (There are others who mix what is godly and wordly)
Na wengine, wanalibadili neno lako (And others keep changing Your World)
Yesu ukisema, na wao pia wanasema (Jesus when You speak, they also speak)
Mi nataka nikusikie Yesu ukisema nami !(I want to hear You Jesus when You speak with me)
Maana wewe ndio wa thamani, maishani mwangu! (For You are the valuable thing in my life)
Nguvu zako Yesu zikae ndani yangu (Your Power Jesus, to remain in me)

(Refrain)

Ni kweli Bwana, nimekutana na vita kali (Lord it is true, that I have fought hard battles)
Lakini Yesu, umepigana baadala yangu (YBut Jesus, You have fought on my behalf )
Wewe umekuwa, ni mwamba wa wokovu wangu (You have become the rock of my salvation)
Mbele yangu sijui kuna nini, unipiganie! (I do not know what is ahead of me, Fight for me!)
Usipokuwa nami sitaweza kitu, unishindie! (Without You, I cannot do anything, be my champion!)
Natamani sana nione uso wako jemedari wangu (I desire to see Your Face, my General)

(Refrain)

Ulisema naposhindwa, nikuite (You said to call you when I am defeated)
Hivi leo nakuita, nisikie (I call upon You today, hear me)
Usiende mbali nami (Do not go far from me)
Usiniache pekee yangu (Do not leave me alone)
Mungu wangu, uniongoze (Guide me, my God) (Repeat)

 

Advertisement